Kama hujaelewa na hapa basi wewe utakua kichwa maji
Rais Ali Hassan Mwinyi alianza awamu nyingine ya utawala kule Zanzibar baada ya Rais Aboud Jumbe kuondolewa Urais wa Zanzibar kwenye mkutano wa CCM kule Dodoma-hakuna uchaguzi wowote uliofanyika
Rais Ali Hassan Mwinyi alianza awamu nyingine ya utawala kule Zanzibar baada ya Rais Aboud Jumbe kuondolewa Urais wa Zanzibar kwenye mkutano wa CCM kule Dodoma-hakuna uchaguzi wowote uliofanyika
Awamu nane za marais Zanzibar
Jina Muda wa Utawala Chama Sheikh Abeid Amani Karume 12 Januari 1964 7 Aprili 1972 ASP Skeikh Mwinyi Aboud Jumbe 11 Aprili 1972 30 Januari 1984 ASP, 1977 CCM Ali Hassan Mwinyi 30 Januari 1984 24 Oktoba 1985 CCM Idris Abdul Wakil 24 Oktoba 1985 25 Oktoba 1990 CCM Salmin Amour 25 Oktoba 1990 8 Novemba 2000 CCM Amani Abeid Karume 8 Novemba 2000 2010 CCM Ali Mohamed Shein 3 Novemba 2010 2020 CCM Hussein Ali Mwinyi 3 Novemba 2020