Bashiru na Polepole walimnunua Silinde kwa vipande vya fedha leo wanamuuliza maswali ya Nyongeza hahahaaaYapo mabadiliko makubwa ya yanayoashiria tupo awamu nyingine mkuu! Nakumbuka awamu ya tano Bashiru na mwenzake Chakubanga walikuwa wanaogopeka na kuheshimika kama simba wa porini ila ssa hivi wanapigana vikumbo na wakina Lusinde hata salamu hawapewi! Kweli zama Zimebadilika.
Pole sana kwa uelewa mdogo.. Mlishakariri kuwa awamu moja basi ni lazima iwe MIAKA 10.. Angalia hapo MWINYI katawala mwaka mmoja tu 1984 had 1985 ikaitwa AWAMU ya tatu na JUMBE alichukua nafasi ya marehem KARUME 1972 ikaitwa AWAMU ya pili.. Hivyo kabla hujapost ujinga TAFAKARI KWANZA
You're a certified fool.
Kama hili linakukera endelea kuamini unachokiona ni sahihi kwa upande wako.
Lakini kwa mantiki yako hii maana yake ni kuwa bado tupo awamu ya tano bado....maana JPM "alichaguliwa" kwa kipindi cha pili na akaunda serikali. So far, mama hajavunja serikali aliyoikuta....kafanya tu mabadiliko madogo. Kwa hivyo hoja ya kuwa tupo awamu ya 5 inapata mashiko.We ni kilaza,hivi aufahamu kuwa kuna uchaguzi kila miaka mitano je kama magufuli angeshindwa na lisu tungesema lisu anaendeza awamu ya tano.
Hapo nafikiri aujaelewa,hebu fikiria kama membe angechukua fomu na magufuli kutokupitishwa alafu membe awe rais ingekuwa ni hawamu ya tano tena?.
Kwa ufupi hawamu ni vichwa vya marais ndio maana kila hawamu kunakuwa na rais bila kujali muda alioudumu kwa taarifa yako Samia ni rais wa sita wa tanzania .
Baada ya kufariki Karume Rais wa kwanza Zanzibar je, Rais aliyempokea aliendelea kuwa wa awamu ya kwanza?
Awamu ya tano kivipi? Hii ni awamu ya sita. Awamu inawakilisha mtu si miaka.
Nyerere awamu ya 1, miaka zaidi ya kumi...
Mwinyi awamu ya 2, miaka kumi
Mkapa awamu ya 3, mikaka kumi
Kikwete awamu ya 4, miaka kumi
JPM awamu ya 5, miaka 5 na miezi miwili
SSH awamu ya 6, haijulikani miaka.......
Still kama awamu ni miaka 10 na si mtu basi Nyerere hajatawala awamu moja hivyo hatukupaswa kuwa awamu ya tano.
Kama hutaki we mbishi tu.
Zero brain huyo..halafu hapendi kujifunza vitu ambavyo havijui
We amini utakavyo ila hii ni awamu ya sita
Nimeisoma katiba sijaona panapo define neno "awamu", kama unapajua niambie ni article ngapi? Ilani gani anayoitumia Samia? mwenyewe anakiri anaendelea pale alipoishia mwenzake, kwanini bado anajihusisha na mwendazake, leo kasema asifananishwe na Magufuli wote ni wale wale.Kuwa raisi wa JMT Kuna njia mbili kulingana na katiba.
1. Kupigiwa kura
2. Kuchukua nafasi kupitia Makamo wa raisi na wote walioorodheshwa na katiba pale raisi anaposhindwa kutimiza wajibu kutokana na kifo au ugonjwa.
Njia zote hizo zinahalalisha kuwa amiri jeshi mkuu.
Kwann unafikiri neno awamu lazima uwe umechaguliwa? Katiba imekuelekeza hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji119]Je akichukua hiyo fomu na kugombea urais na akashiNDWA utakubaliana naye kuwa ni awamu ya ngapi? Ya saba?
Kweli kaka kule Zenji wameongoza hawa wafuatao!Popoma Gentamicin,Mzukulu,Clever right,All Rounder katika ubora na umbumbumbu uliotukuka.
Rais wa Zanzibar wa sasa Dr Hussein Mwinyi ni Rais wa awamu ya nane kule Zanzibar. Sasa jiulize hao marais nane wa awamu zote nane walifanya uchaguzi ndio ikaanza kuhesabiwa upya au.....!!.
Simple logic ni kuwa anapoingia madarakani Rais mwengine unaanza kuhesabiwa awamu mpya rejea mfano wa Zanzibar
Kuendeleza alipoishia anamaanisha kufuata ilani ya CCM na miongozo ya Chama, hamaanishi mtindo wa uongozi.Nimeisoma katiba sijaona panapo define neno awamu, kama unapajua niambie ni article ngapi? Ilani gani anayoitumia Samia? mwenyewe anakiri anaendelea pale alipoishia mwenzake, kwanini bado anajihusisha na mwendazake, leo kasema asifananishwe na Magufuli wote ni wale wale.
Hao wote uliowataja hapo walipigiwa kura, tuambie Samia alipigiwa kura na nani?
Fanya uko awamu ya tano ili moyo wako usuuzike