Ok, now mnakiri hilo neno "awamu" halipo kisheria, so mambo ya katiba hapa hayana nafasi.Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani. Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6. Kila zama na kitabu chake. Maendeleo hayana vyama!www.jamiiforums.com
Kumbe wajinga mko wengi Sana humuUko sahihi
Na katiba iko wazi kwamba makamu wa Rais ataapishwa kuwa rais ili kumalizia kipindi kilichobakia kwa awamu ile
Mataga ni Zero brain na ni Low Thinkers wengi wao, Type hii ya watu ni wengi wako sisiem na ndo mtaji kwa ccm kuitawala hii nchi...Ujione mjinga itoshe kusema hivyo kama hata hili linakushinda kulielewa
Halipo kisheria!!Ok, now mnakiri hilo neno "awamu" halipo kisheria, so mambo ya katiba hapa hayana nafasi.
How comes mtu atumie ilani ile ile ya mwenzake halafu useme awamu ni tofauti? msilazimishe haya mambo.Kuendeleza alipoishia anamaanisha kufuata ilani ya CCM na miongozo ya Chama, hamaanishi mtindo wa uongozi.
Mfano: JPM alinunua ndege cash na ilani ilimuelekeza kununua ndege ila mtindo wa kutumia cash huo ni wake, Pengine mwingine angekopa.
Mkuu ungeyaacha tu haya masukuna. Yaendelee na ujinga wao.Awamu nane za marais Zanzibar
Jina Muda wa Utawala Chama Sheikh Abeid Amani Karume 12 Januari 1964 7 Aprili 1972 ASP Skeikh Mwinyi Aboud Jumbe 11 Aprili 1972 30 Januari 1984 ASP, 1977 CCM Ali Hassan Mwinyi 30 Januari 1984 24 Oktoba 1985 CCM Idris Abdul Wakil 24 Oktoba 1985 25 Oktoba 1990 CCM Salmin Amour 25 Oktoba 1990 8 Novemba 2000 CCM Amani Abeid Karume 8 Novemba 2000 2010 CCM Ali Mohamed Shein 3 Novemba 2010 2020 CCM Hussein Ali Mwinyi 3 Novemba 2020
Move on ndugu!
Kubali matokea Rais Tuliye naye si yule aliyetwaliwa.
Hii ni Awamu ya Sita.
. Tatizo sijui waafrika akili yetu mpaka wazungu watuekeze. Haiitaji elimu ya sekondari Kujua Rais wetu SSH ni rais wa sita ndani ya Awamu ya tano. Ila kwa mara ya kwanza Tanzania itaongaozwa na marais wawili ndani ya awamu mojaNi wachache sana wenye uwezo wa kuelewa bandiko hili lililowasilishwa kwa akili nyingi.
. Tatizo sijui waafrika akili yetu mpaka wazungu watuekeze. Haiitaji elimu ya sekondari Kujua Rais wetu SSH ni rais wa sita ndani ya Awamu ya tano. Ila kwa mara ya kwanza Tanzania itaongaozwa na marais wawili ndani ya awamu mojaNi wachache sana wenye uwezo wa kuelewa bandiko hili lililowasilishwa kwa akili nyingi.
DunderheadSame to the ome who gave birth to you.
Profound mental disability... Useless to argue with fools...Another Dunce.
Popoma alipie hizi ID..Popoma Gentamicin,Mzukulu,Clever right,All Rounder katika ubora na umbumbumbu uliotukuka.
Rais wa Zanzibar wa sasa Dr Hussein Mwinyi ni Rais wa awamu ya nane kule Zanzibar. Sasa jiulize hao marais nane wa awamu zote nane walifanya uchaguzi ndio ikaanza kuhesabiwa upya au.....!!.
Simple logic ni kuwa anapoingia madarakani Rais mwengine unaanza kuhesabiwa awamu mpya rejea mfano wa Zanzibar
Mkuu masuala ya ukabila achana nayo. Wasukuma, Wasukuma. Pambana na maisha yako dogo. Nchi hii tukiamua kuzungumzia ukabila, hakuna kabila litashaini nchi hii zaidi ya Wasukuma. Mimi ni Mhaya na sipendi huo upumbavu wako wa ukabila. Au wewe ni Mkenya unataka kutugombanisha Watanzani? Hapa umechemka!Hajui hata maana ya awamu hawa wasukuma naona wana jambo lao sirini dhidi ya serikali hii.
Kuwa raisi wa JMT Kuna njia mbili kulingana na katiba.
1. Kupigiwa kura
2. Kuchukua nafasi kupitia Makamo wa raisi na wote walioorodheshwa na katiba pale raisi anaposhindwa kutimiza wajibu kutokana na kifo au ugonjwa.
Njia zote hizo zinahalalisha kuwa amiri jeshi mkuu.
Kwann unafikiri neno awamu lazima uwe umechaguliwa? Katiba imekuelekeza hivyo?
Pole sana kwa uelewa mdogo.. Mlishakariri kuwa awamu moja basi ni lazima iwe MIAKA 10.. Angalia hapo MWINYI katawala mwaka mmoja tu 1984 had 1985 ikaitwa AWAMU ya tatu na JUMBE alichukua nafasi ya marehem KARUME 1972 ikaitwa AWAMU ya pili.. Hivyo kabla hujapost ujinga TAFAKARI KWANZA