Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Awamu zinaenda na Rais . Mfano ni Zanzibar . Ally Hassan Mwinyi aliongoza chini ya miaka miwili lakini ni awamu. Marehemu Idris Abdul Wakil aliongoza muhula moja wa miaka mitano tu lakini ni awamu. So awamu ya tano imeenda na Maghufuli. Generalist
 

Another Dolt.
 
Sasa unalazimishwa ama ndio ukweli wenyewe! Au umekariri urais miaka 10 ndio awamu inaisha!
Awamu ni Rais na sio miaka mkuu hebu jiongeze basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hata sielewi wabunge nao wako awamu ya ngapi?
Ya tano au ya sita?

Wanaotetea na Kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan kuwa yuko katika Awamu ya Sita waje pia kutuambia je, na hawa Wabunge nao ni wa Awamu ya Tano ( iliyokuwa ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ) au nao ni wa Awamu tunayolazimishwa kuwa ni ya Sita?
 
Watu wanajichanganya. Raisi Samia ni raisi wa Sita katika awamu ya tano.
 
Kuendeleza alipoishia anamaanisha kufuata ilani ya CCM na miongozo ya Chama, hamaanishi mtindo wa uongozi.

Mfano: JPM alinunua ndege cash na ilani ilimuelekeza kununua ndege ila mtindo wa kutumia cash huo ni wake, Pengine mwingine angekopa.

Huna Akili acha Kuchangia unatuboa tu.
 
Awamu ni mtu akitoka kwa namna yoyote awamu yake ndio imekwisha ndio maana usukani kashika mwingine naye apanga mipango kwa utashi wake
 
Acha Kudanganya Watu njia pekee tena ya Kikatiba ndani ya CCM ni ile tu ya Rais Kupigiwa Kura.



Hivi kwanini Jambo dogo tu hili linawashindeni Kuling'amua tena Kimantiki kabisa? Ubongoni mwenu kumejaa Takataka ngumu tu au?
Aisee🤣
Na bado ubongo wako umelitafsiri kama jambo dogo sana.

Haya akili kubwa tupo awamu ya tano ya SSH, hata raisi ni muongo naye hajui.

Halafu katiba inayofuatwa si ya ccm ni ya nchi.
 

Another Dead Head.
 
Watu wanajichanganya. Raisi Samia ni raisi wa Sita katika awamu ya tano.

Hata Yeye ( Rais Samia Suluhu Hassan ) angesema ( angesisitiza ) hivi kama ulivyopatia Wewe na ambavyo ndiyo sahihi hata Mimi Generalist ningemuelewa mapema tu.

Cha Kushangaza Yeye Mwenyewe ( Rais Samia Suluhu Hassan ) kila akiongea na Hadhira ya Watanzania kwa Kujiamini kabisa ( wakati Kiuhalisia anakosea ) anasema ( anajinasibu ) kuwa Yeye ni Rais wa Awamu ya Sita. Na hata leo alipokuwa Dodoma ameirudia tena Ndugu.
 
Kama awamu ni miaka ya kukaa kwenye uras basi tungekuwa tuna awamu nyingi tu zaid ya hizo ambazo mnabishania maana nyerere amekaa miaka 24 kwenye urais
 

Ungewauliza bashiri, pole pole, katelefoni, mparamagamba na wenzao wangekwambia kuwa nao wana cheki na kujisemea hiiiiii!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hawamu = awamu

Yote kwa yote ufatanuzi wako uko vyema kabisa.
 
Umeitwa / Nimekuita uchangie? Swine.
Pambana tu na hali pale unapoleta hoja kwenye public forums.

Hoja ambazo hakuna atakayekuingilia ni zile utakazotumia mtindo wa kuinbox mmoja mmoja muongee sirini humo.
 
Kosa ni la interahamwe wa CCM kushindwa kutafsiri sheria. Ilitakiwa Samia asitawale nchi kwa siku zaidi ya 90 kabla uchaguzi mkuu haujaitishwa. Sasa kwa kuwa hawa interahamwe wakaona kuwa wanaweza kupoteza viti wakajipa eti hadi uchaguzi mkuu mwingine utakapowadia tarehe yake wakati kiuhalisia kufanya hivyo ni upuuzi mtupu!
 

Kama tu Siku ya Kwanza Kututangazia Msiba wa Rais Dkt. Magufuli alisema Maombolezo yatakuwa ni Siku 14 ila baadae alipoelimishwa kuhusu Katiba kuwa ni Siku 21 akaitangaza tena leo akikosea na kwenda Kinyume na Vipengele vya Katiba na ( hasa ya CCM ) akijiita ni Rais wa Awamu ya Sita wala simshangai sana sana naona kumbe nae ( SSH ) ni Mtupu hasa Kiuelewa na naanza kupata Wasiwasi dhidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…