Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Awamu zinaenda na Rais . Mfano ni Zanzibar . Ally Hassan Mwinyi aliongoza chini ya miaka miwili lakini ni awamu. Marehemu Idris Abdul Wakil aliongoza muhula moja wa miaka mitano tu lakini ni awamu. So awamu ya tano imeenda na Maghufuli. GeneralistRais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo bado Awamu ya Tano ya Muhula wake wa Pili ( wa mwisho).
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakubaliana nawe kuwa tupo Awamu ya Sita pale tu ukichukua Fomu na Kugombea Urais na ukashinda kuanzia mwaka 2025.
Rais wa Awamu ya Tano alikuwa ni Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Wewe kuwa Makamu wake na alipofariki Kikatiba ukaapishwa Wewe kuendelea ndani ya Awamu hii kstika Muhula wake wa mwisho.
Nasikitika tu kuona kuna waliomuamini.