Kwanini tunalazimishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa tupo Awamu ya Sita wakati Kiuhalisia bado tupo Muhula wa Pili wa Awamu ya Tano?

Simple mzee..Kama JPM Angeshindwa uchaguzi wa 2020..Angeshinda Lissu ama mwingine yeyote yule..angekuwa still ni Rais wa Sita katika awamu ya tano..awamu huwa ni term za Uongozi kwa Tanzania ni miaka kumi, USA ni miaka nane ..mfano Biden yupo kwenye awamu ya Trump ambayo ni awamu ya 48 na yeye ni Rais wa 46..uchaguzi ujao ataingia awamu ya 49 Rasmi akiwa BADO ni Rais wa 46, Ila kama Trump atashinda atakuwa Rais wa 47 kwa sababu ya kutawala mara mbili kwa vipindi tofauti..so itasomeka aliyekuwa Rais wa 45 Trump ameshindwa Na kuwa Rais wa 47 katika awamu ya 49.
 
Rais wa awamu ya kwanza ni nyerere kuanzia 1961 hadi 1965
 
Rais wa awamu ya tatu ni nyerere pia kuanzia 1975 hadi 1985
 
Yani wewe pamoja na huyo mnaisoma katiba bila kuitafakari...Samia anatumia Ilani ya awamu Gani katika kuongoza Serikali yake anayoiita ya awamu ya sita!? Ujiulizi why hana vipaumbele vyake zaidi ya kuviendeleza vya JPM !?

Guys hili somo naona wengi wenu hapa ni maamuma ..na hamtaki kuujua ukweli..

Samia ni Rais wa Sita katika awamu ya tano..2025 akigombea atakuwa Rais wa Sita katika awamu yake mpya ya Sita.
 
So marehemu dikiteta magufuli ni rais wa awamu ya saba, mnaosema dikiteta magufuli ni rais wa awamu ya tano mnakosea pakubwa sana
 
Another Daffy.
 
Huwa nikikutana na JF Genius Members kama Wewe Ndugu na Wenzako baadhi mliojitokeza na Kunielewa vyema hapa huwa nafurahi na kufarijika sana tu pia.
 
Yani wewe pamoja na huyo mnaisoma katiba bila kuitafakari...Samia anatumia Ilani ya awamu Gani katika kuongoza Serikali yake anayoiita ya awamu ya sita!? Ujiulizi why hana vipaumbele vyake zaidi ya kuviendeleza vya JPM !?

Guys hili somo naona wengi wenu hapa ni maamuma ..na hamtaki kuujua ukweli..

Samia ni Rais wa Sita katika awamu ya tano..2025 akigombea atakuwa Rais wa Sita katika awamu yake mpya ya Sita.
Mzee..awamu ni term ya miaka...nakupa.mfano..kama Jiwe angekuwa hai..na MATAGA wakamuongezea miaka Kama walivyokuwa wanataka..bila kujali ingekuwa ni miaka mingap.simple angeendelea kuwa Rais wa Tano..katika awamu ya tano kulingana na miaka ambayo angetawala nayo mpaka ukomo wake. So Nyerere anabaki kuwa awamu ya kwanzA kwa sababu awamu yake ilikuwa na mingi miaka ambayo ikifika ukomo baada ya Mwinyi kuingia madarakani..hii ndio kusema Kama Mwl angekuwa hai mpaka leo ..na angeendelea kuwa Rais kwa namna yeyote iwe kushinda ama kuukalia madaraka kinguvu..sti angekuwa Rais wa kwanzA katika awamu ya kwanzA..mpaka ambapo angeingia Rais mwingine..
 
Ilani ya uchaguzi ni ileile ya awamu ya tano. Samia hana ilani ya uchaguzi mpya. Hivyo, Samia ni Rais wa sita lakini awamu ni ya tano. Umeandika vema.
 
Huwa nikikutana na JF Genius Members kama Wewe Ndugu na Wenzako baadhi mliojitokeza na Kunielewa vyema hapa huwa nafurahi na kufarijika sana tu pia.
Wengi hapa..wanashindwa kuelewa kwa kuwa hawataki kuelewa na nawasiwasi pengine Hawa ndio wale ambao walikuwa wanameza / kukariri darasani bila kuelewa anachokariri kina maana Gani.
 
Another Nutty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…