Samia Suluhu yupo sahihi kusema hii ni awamu ya sita
Kama katiba inavyojielezea hapa chini. Term ya pili Magu ameongoza kwa muda wa miezi mitano tu, amebakisha miaka minne na miezi nane.
kwa mujibu wa katiba, Makamu wa Rais akishika kiti cha urais kwa kipindi cha miaka mitatu na zaidi, inahesabika ni awamu yake na inahesabika kana kwamba ameongoza kwa muhula mzima wa miaka mitano. baada ya kushikilia nafasi ya rais aliefariki na akaamua kugombea urais na akashinda huo uchaguzi, ataruhusiwa kuongoza nchi kwa muda wa miaka mitano tu.
kwa hio ndugu zanguni, tusimkosoe mama, yule anaijua katiba kuliko sisi, mbali na hilo, yupo sahihi katika hayo matamshi.
View attachment 1756019View attachment 1756020
Sent from my SM-G570F using
JamiiForums mobile app