PostGE2025 Kwanini tunamlaumu sana Samia wakati aliyempenyeza na anayemuendesha tunamuacha?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1763512693810.png

Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili kumbana hata kumshughulikia Magufuli kama walivyofanikiwa kumuondoa. Hayo tuyaache. Kikwete kashinda kumuondoa Magufuli na kumtumia Samia. Kwa kinachoendelea, ataendelea kuwa salama nyuma ya pazia au ni suala la wakati arobaini za mwizi zitafika?
 
Ukipewa ushauri ukaukubali, you own it. Ingawa informally tutajua ulishauriwa, hatutakuwa na basis ya kushughulika na aliyekushauri.
 
Back
Top Bottom