Kwanini tunapenda kuigana?

Kuna wengine wanaiga kwa manufaa na wengine kwa nia mbovu.
Tatizo kubwa la kuiga kwa nia mbovu ni kukosa Ubunifu ambao unachangiwa na uvivu wa kufikiri.
Unakuta Mtu ana copy na ku paste kitu without editing, kama ni gari basi atanunua la rangi na design kama yako.

Kuiga kitu kama umeona kwa mtu na unapendezwa si vibaya, but at least try to put some work into it, with some little changes.
 
Hapa naigwa mpka nikipumua
 
At least umenielewa.
 
Kutojitambua na kutojiamini kwani hata mafundi wa fenicha pale Chang'ombe wanatengeneza the same thing yaani hawana ubunifu hata kidogo.
 
Me naomba kuwa tofauti na wewe, Kwani nini maana ya Fashion Show na Trending Fashion!?
 
Nimekuelewa sana mkuu, myself napenda kuwa unique nachukia sana mtu anapotaka kuwa/ kutumia nguvu nyingi kuwa kama mimi na wengine mbaka personality anataka kuiga , seriously [emoji19]??? Ukitaka kuwa mimi, mimi nitakuwa nani??
 
Dah....labda iwe katika vitu visivyo na tija katika maisha yetu.....lakini kwa vile vyenye tija katika uzalishaji...au urahisi katika kupambana na mazingira yetu....ni mjinga tu ataumiza kichwa badala ya kukopi na kupest....
 
Ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…