Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinikumbushe yale mashati yenu ya "mapazia" na mabugando
Hapa naigwa mpka nikipumuaUnamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
Mm hapa nimekuelewa shogaa haahha,.watu noma sanaUmenikumbusha mbali kweli, kuna shoga angu anapenda kuiga mpaka personal stuff....vingne sio vyakuandika hapa maana ni aibu.
At least umenielewa.Kuna wengine wanaiga kwa manufaa na wengine kwa nia mbovu.
Tatizo kubwa la kuiga kwa nia mbovu ni kukosa Ubunifu ambao unachangiwa na uvivu wa kufikiri.
Unakuta Mtu ana copy na ku paste kitu without editing, kama ni gari basi atanunua la rangi na design kama yako.
Kuiga kitu kama umeona kwa mtu na unapendezwa si vibaya, but at least try to put some work into it, with some little changes.
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko kwenye magari ndio maana utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Tatizo nini ushamba, hatuna taste au hatuna ubunifu au uvivu wa kufikiri?
Who felt bad? Im surprised we cant understand hata Kiswahili?
Heading : Kwanini tunaigana?
Ending: Tatizo ni ushamba? Hatuna taste etc? Still questioning. I waa expecting good explaination as to why is that so(u tried) but ending by saying why feeling bad.
Why people conclude otherwise?
Na mimi nichukulie hiyo PremioYani zipo nyingi hadi zinakera mkuu,wengi wameuza brevis wakanunua allion na hizo premio kwa mbali na raum
[emoji116][emoji116]Endelea kuwa tofauti. Im talking about cheese you are talking about chalk.
Unavyohisi hiyo juu sio FASHION TREND!?..utaona ikiingia brevis kila mtu brevis, ikija crown kila mtu crown sasa hivi vanguard si wanawake si wanaume kila kona vanguard.
Dah....labda iwe katika vitu visivyo na tija katika maisha yetu.....lakini kwa vile vyenye tija katika uzalishaji...au urahisi katika kupambana na mazingira yetu....ni mjinga tu ataumiza kichwa badala ya kukopi na kupest....Labda hujaelewa, soma vizuri. Kuna,watu hawanunui kitu mpaka waone mtu mwingine kanunua. Ndio hao akikuona hata na viatu anataka umuelekeze duka akavinunue.
Pia tunaweza kununua vitu kuwaonesha watu,au kujiweka tofauti au kukidhi mahitaji. Yote yanawezekana.
Unakuta foleni gari kumi zimeongozana IST....