Kwanini tunapenda kushabikia vita?

Kwanini tunapenda kushabikia vita?

Wewe amini tu Watanzania walio wengi, kichwani hamna kitu.
Hiki kitu huwa nawambia watu sana, ni reflection ya elimu yetu
Majority ya watanzania hawana critical thinking, wengi ni wajuaji tu, wanapenda ushabiki na kwenda na vichwa vya habari, vichwani 0

Huu ushabiki wa simba na yanga wameuweka kwenye kila kitu
 
"Muvi" zimewaharibu toka wakiwa wadogo!

Wazazi mnalo la kulaumiwa hapa.. watoto wanashinda mabanda ya Video baadaye wanakuwa watu wazima wa hovyo! Kazi unazi wa mpira na vita!
Sio movie tu, tukili tu majority ya watanzania hawana critical thinking, huwezi kupata support yao kwa jambo lolote lile la maana

Dream citizens kwa Serikali yoyote ile isiyojua cha kufanya
 
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Hili jambo naona watu wengi hawalizungumzi, hali inatisha
Watanzania wengi ni watupu sana kwenye kujadili au kuchambua mambo kwa kina

Matokeo yake ubishi wa simba na yanga wanauhamishia mpaka kwenye mambo muhimu, mtu ukimuuliza swali dogo hajui

Huu mzozo wa mashariki ya kati wameufanya uwe kama wa simba na yanga, Diamond na Alikiba

Wakristo wamekua Simba, Waislam wamekua yanga, hao wanawaita wenzao wavaa kobazi, hawa wanawaita wenzao makafiri

Urusi na Ukraine hivyo hivyo, Kuna Pro U.S na pro Russia, uwezo wa kujadili mambo objectively, with research and facts hawana kwasababu kichwani watupu

Always ni pande mbili tu za ubishi wa kijinga, ni CCM na Chadema, Ray na Kanumba, Mond Kiba, Simba na Yanga, huyu vs yule, hakuna objective analysis
 
Wahunzi wachakataji wa fikra za Bina adamu walifanikiwa sana;-

1.walileta dini mbili kubwa

2.wakawagawa watu kiitikadi na kiimani ,yaani haijalilishi dini na imani Gani uliyonayo lakini una upande either Israel au palestine ndio Imani kuu!

3.vita katika pande kuu mbili hizo ikatengenezwa na wafuasi walikwisha andaliwa wakaanza kuzishabikia yaani kifo Cha mpinzani wa kiimani ni furaha Kwa Imani nyingine Tena wanawaombea Ili wawaue binadamu wenzao!
 
Ni lini dunia haikuwa na vita?
Dhulma ndio chanzo cha vita.
Hata sisi hatupo salama, mkuu wa nchi alisema 'kufa ni kufa tu'
Thamani ya uhai haiwezi kuwa kipaumbele kwa watawala. Hadi waguswe wao.
 
Umewaza kama mimi kwa 💯%.

Wanaopigana vita ndo wa kuwashangaa.

Na cha kushangaza zaidi, eti kuna hadi sheria za vita.

Yaani kuna mambo yanayokubalika na yasiyokubalika.

Kwa akili yangu, vita ndo inayopaswa kutokukubalika.

Lakini ndo hivyo tena.

Kwa hiyo uko sahihi kabisa. Wanaobeba silaha na kuanza kuuana ndo wanawajibika moja kwa moja kwa kila kinachotokea vitani na ndo wanaopaswa kushangaliwa.
Una miaka mingapi? 12 au?
Ukikua utajua kwanini mwanaume anaamua kushika silaha na kwenda kuua

Mke wako na watoto wako wakike wakib**wa na kuuliwa mbele yako, nyumba yako ikachomwa moto, na ukafukuzwa kwenye eneo lako kwa nguvu, utaelewa kwanini kuna wanaume wenzako wapo vitani

Hio hoja yako ingekua ina make sense tu kwenye dunia ambayo kila mtu ana lengo jema, hii dunia imejaa wendawazimu ndio maana tuna wanajeshi mipakani

Na hao wanajeshi wameshika bunduki zenye risasi tayari kuua, unahisi ni wajinga?
 
Wahunzi wachakataji wa fikra za Bina adamu walifanikiwa sana;-

1.walileta dini mbili kubwa

2.wakawagawa watu kiitikadi na kiimani ,yaani haijalilishi dini na imani Gani uliyonayo lakini una upande either Israel au palestine ndio Imani kuu!

3.vita katika pande kuu mbili hizo ikatengenezwa na wafuasi walikwisha andaliwa wakaanza kuzishabikia yaani kifo Cha mpinzani wa kiimani ni furaha Kwa Imani nyingine Tena wanawaombea Ili wawaue binadamu wenzao!
Na hizo dini ndo zinazotumiwa kuwahadaa watu wengi
Kuna uzi nimesoma jamaa anauliza kama Netanyau ndio ujio wa pili wa mfalme daudi, seriously ana amini huu utopolo

Anashindwa kujua kabisa Israel ni imperial project ya U.S, haina mahusiano yoyote yale ya dini

Huyo mu poland Benzion Mileikowsky aliyeamua kujiita Netanyau kuna watu wanaamini ndio mfalme Daudi

Neno Israel limekua hijacked na wahasisi wa uzayuni ambao majority walikua (na mapaka sasa) ni Atheists (hawaamini Mungu) lakini kuna watu wanaamini hizo hadithi za abunuasi, na ndo supporters wakubwa, na wanatoka kwenye dini zote mbili
 
Kwa ufupi Wanaume tunapenda vitu vyenye hatari.
Ambapo number moja ya kitu hatari ni Mwanamke, huku number mbili ikiwa ni Vita. Vita ndio mchezo wa kwanza kuchezwa na kiumbe binadamu risky zake ni kubwa sana kitu kinachopelekea kuvutia zaidi.
 
Ni kawaida ya maiti kushabikia vita kwa maana hawajui yanayoendelea duniani na mtu muoga hata akipakwa baby oil kwake anaona Ni sawa!
 
Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao kuharibiwa kwa kosa ambalo sio lao?

Unahisi kabisa excitement ya watu wanapozungumzia mabomu yanavyoangushwa, nyumba zinavyolipuliwa na wanajeshi wanavyovamia!

Kwa kweli inasikitisha.

Amandla!
Ukiwa OBSERVER anywhere Kuna kuchagua upande..

Mfano Simba vs YANGA , chadema vs CCM
Ndio ivyo ivyo kwenye vita na dini watu wapo sided kwenye mahaba na ideologies zao.

Wasalaam.
 
Na hizo dini ndo zinazotumiwa kuwahadaa watu wengi
Kuna uzi nimesoma jamaa anauliza kama Netanyau ndio ujio wa pili wa mfalme daudi, seriously ana amini huu utopolo

Anashindwa kujua kabisa Israel ni imperial project ya U.S, haina mahusiano yoyote yale ya dini

Huyo mu poland Benzion Mileikowsky aliyeamua kujiita Netanyau kuna watu wanaamini ndio mfalme Daudi

Neno Israel limekua hijacked na wahasisi wa uzayuni ambao majority walikua (na mapaka sasa) ni Atheists (hawaamini Mungu) lakini kuna watu wanaamini hizo hadithi za abunuasi, na ndo supporters wakubwa, na wanatoka kwenye dini zote mbili
😀 😀 😀Ukiwapiga pich utaona kuna race tofauti pale , nchi ile watu wanashiriki UEFA ina maana ni offshore europe ....Watu wenye long story eti wapate uhuru 1947 kweli!?

Ile nchi ina matatizo sana , kutokea vita kati ya jamiii moja ya watu wenye asili moja ni rahisi kuliko vita ya nchi mbli...Wale palestine hawafanani na wanaozunguka pale wengi hawafanani kabisa na wale wazungu wanaojiita jews mpaka DNA walipiga marufuku .
 
Hiki kitu huwa nawambia watu sana, ni reflection ya elimu yetu
Majority ya watanzania hawana critical thinking, wengi ni wajuaji tu, wanapenda ushabiki na kwenda na vichwa vya habari, vichwani 0

Huu ushabiki wa simba na yanga wameuweka kwenye kila kitu
Kwa akili yako unadhani vita zinashabikiwa bongo tu?
Uliona maandamano nchi ngapi kuunga mkono either palestina au Israel,
Uliona maandamano ya kuwalaani Urusi na wengine kuwapongeza?

Hayo yote yalikuwa Tz ?
 
Ukiwa OBSERVER anywhere Kuna kuchagua upande..

Mfano Simba vs YANGA , chadema vs CCM
Ndio ivyo ivyo kwenye vita na dini watu wapo sided kwenye mahaba na ideologies zao.

Wasalaam.
Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.

Kugeuza vita ambamo zaidi ya watu 50000 wamekufa na malaki kujeruhiwa kuwa kama mchezo wa Simba na Yanga ni depravity ya hali ya juu. Inatia kinyaa kumsikia mtu anasema " cheki jinsi bomu lilivyodondoshwa Gaza". Au cheki " Hamas walivyowaua vijana wa kiisraeli". Hali hiyo haitakiwi kukubalika kwa binadamu yeyote.

Amandla...
 
Uchumi (pesa) unatuweka wanadamu kwenye vita practically sema tunapigana kistaarabu kidogo.

Source ya vita ni ubinafsi ambao tunao binadamu kiasili.
 
Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.

Kugeuza vita ambamo zaidi ya watu 50000 wamekufa na malaki kujeruhiwa kuwa kama mchezo wa Simba na Yanga ni depravity ya hali ya juu. Inatia kinyaa kumsikia mtu anasema " cheki jinsi bomu lilivyodondoshwa Gaza". Au cheki " Hamas walivyowaua vijana wa kiisraeli". Hali hiyo haitakiwi kukubalika kwa binadamu yeyote.

Amandla...
Na lishakubalika sasa na hakuna kitu utafanya.
And as long as you are still a human being, you are unsafe too from this.
 
Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao kuharibiwa kwa kosa ambalo sio lao?

Unahisi kabisa excitement ya watu wanapozungumzia mabomu yanavyoangushwa, nyumba zinavyolipuliwa na wanajeshi wanavyovamia!

Kwa kweli inasikitisha.

Amandla!
Huu ni utamaduni wa watanzania wengi. Nadhani ni kwa sababu hatujawahi kukutwa na na masaibu ya vita. Unajua tena akili za ki-nyani nyani. Mpaka limkute jambo ndiyo anajifunza.
 
Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.

Kugeuza vita ambamo zaidi ya watu 50000 wamekufa na malaki kujeruhiwa kuwa kama mchezo wa Simba na Yanga ni depravity ya hali ya juu. Inatia kinyaa kumsikia mtu anasema " cheki jinsi bomu lilivyodondoshwa Gaza". Au cheki " Hamas walivyowaua vijana wa kiisraeli". Hali hiyo haitakiwi kukubalika kwa binadamu yeyote.

Amandla...
Walio sided na waisrael ndio wana mahaba ya Hali ya juu VS Hamas + wafuasi wa Hezbollah nao wapo very hot ni minyukano humu mitandaoni.

Madhara ya vita ni makubwa mnoo siungi mkono hivi vitendo visivyo kua vya kibinadamu
 
Nadhani sababu ni kudhani vita kama ni bongo movies pia ni roho zetu zilizojaa ukatili kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom