Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kitu huwa nawambia watu sana, ni reflection ya elimu yetuWewe amini tu Watanzania walio wengi, kichwani hamna kitu.
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.Wewe amini tu Watanzania walio wengi, kichwani hamna kitu.
Sio movie tu, tukili tu majority ya watanzania hawana critical thinking, huwezi kupata support yao kwa jambo lolote lile la maana"Muvi" zimewaharibu toka wakiwa wadogo!
Wazazi mnalo la kulaumiwa hapa.. watoto wanashinda mabanda ya Video baadaye wanakuwa watu wazima wa hovyo! Kazi unazi wa mpira na vita!
Hili jambo naona watu wengi hawalizungumzi, hali inatishaWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Una miaka mingapi? 12 au?Umewaza kama mimi kwa 💯%.
Wanaopigana vita ndo wa kuwashangaa.
Na cha kushangaza zaidi, eti kuna hadi sheria za vita.
Yaani kuna mambo yanayokubalika na yasiyokubalika.
Kwa akili yangu, vita ndo inayopaswa kutokukubalika.
Lakini ndo hivyo tena.
Kwa hiyo uko sahihi kabisa. Wanaobeba silaha na kuanza kuuana ndo wanawajibika moja kwa moja kwa kila kinachotokea vitani na ndo wanaopaswa kushangaliwa.
Na hizo dini ndo zinazotumiwa kuwahadaa watu wengiWahunzi wachakataji wa fikra za Bina adamu walifanikiwa sana;-
1.walileta dini mbili kubwa
2.wakawagawa watu kiitikadi na kiimani ,yaani haijalilishi dini na imani Gani uliyonayo lakini una upande either Israel au palestine ndio Imani kuu!
3.vita katika pande kuu mbili hizo ikatengenezwa na wafuasi walikwisha andaliwa wakaanza kuzishabikia yaani kifo Cha mpinzani wa kiimani ni furaha Kwa Imani nyingine Tena wanawaombea Ili wawaue binadamu wenzao!
Ukiwa OBSERVER anywhere Kuna kuchagua upande..Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao kuharibiwa kwa kosa ambalo sio lao?
Unahisi kabisa excitement ya watu wanapozungumzia mabomu yanavyoangushwa, nyumba zinavyolipuliwa na wanajeshi wanavyovamia!
Kwa kweli inasikitisha.
Amandla!
😀 😀 😀Ukiwapiga pich utaona kuna race tofauti pale , nchi ile watu wanashiriki UEFA ina maana ni offshore europe ....Watu wenye long story eti wapate uhuru 1947 kweli!?Na hizo dini ndo zinazotumiwa kuwahadaa watu wengi
Kuna uzi nimesoma jamaa anauliza kama Netanyau ndio ujio wa pili wa mfalme daudi, seriously ana amini huu utopolo
Anashindwa kujua kabisa Israel ni imperial project ya U.S, haina mahusiano yoyote yale ya dini
Huyo mu poland Benzion Mileikowsky aliyeamua kujiita Netanyau kuna watu wanaamini ndio mfalme Daudi
Neno Israel limekua hijacked na wahasisi wa uzayuni ambao majority walikua (na mapaka sasa) ni Atheists (hawaamini Mungu) lakini kuna watu wanaamini hizo hadithi za abunuasi, na ndo supporters wakubwa, na wanatoka kwenye dini zote mbili
Kwa akili yako unadhani vita zinashabikiwa bongo tu?Hiki kitu huwa nawambia watu sana, ni reflection ya elimu yetu
Majority ya watanzania hawana critical thinking, wengi ni wajuaji tu, wanapenda ushabiki na kwenda na vichwa vya habari, vichwani 0
Huu ushabiki wa simba na yanga wameuweka kwenye kila kitu
Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.Ukiwa OBSERVER anywhere Kuna kuchagua upande..
Mfano Simba vs YANGA , chadema vs CCM
Ndio ivyo ivyo kwenye vita na dini watu wapo sided kwenye mahaba na ideologies zao.
Wasalaam.
Na lishakubalika sasa na hakuna kitu utafanya.Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.
Kugeuza vita ambamo zaidi ya watu 50000 wamekufa na malaki kujeruhiwa kuwa kama mchezo wa Simba na Yanga ni depravity ya hali ya juu. Inatia kinyaa kumsikia mtu anasema " cheki jinsi bomu lilivyodondoshwa Gaza". Au cheki " Hamas walivyowaua vijana wa kiisraeli". Hali hiyo haitakiwi kukubalika kwa binadamu yeyote.
Amandla...
Huu ni utamaduni wa watanzania wengi. Nadhani ni kwa sababu hatujawahi kukutwa na na masaibu ya vita. Unajua tena akili za ki-nyani nyani. Mpaka limkute jambo ndiyo anajifunza.Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao kuharibiwa kwa kosa ambalo sio lao?
Unahisi kabisa excitement ya watu wanapozungumzia mabomu yanavyoangushwa, nyumba zinavyolipuliwa na wanajeshi wanavyovamia!
Kwa kweli inasikitisha.
Amandla!
Walio sided na waisrael ndio wana mahaba ya Hali ya juu VS Hamas + wafuasi wa Hezbollah nao wapo very hot ni minyukano humu mitandaoni.Unalinganisha embe na machungwa. Suala lolote linalohusu watu kuuawa halitakiwi kushabikiwa. Mashabiki wa mpira wakianza kuuana, ushabiki hautakuwa na nafasi. Hivyo hivyo kwa wafuasi wa dini tofauti.
Kugeuza vita ambamo zaidi ya watu 50000 wamekufa na malaki kujeruhiwa kuwa kama mchezo wa Simba na Yanga ni depravity ya hali ya juu. Inatia kinyaa kumsikia mtu anasema " cheki jinsi bomu lilivyodondoshwa Gaza". Au cheki " Hamas walivyowaua vijana wa kiisraeli". Hali hiyo haitakiwi kukubalika kwa binadamu yeyote.
Amandla...