johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anajua kujenga hoja n nini cha kuongea,meko n wenzake walikua wanaropoka na kusema ahadi za uwongo mwanzo mwengaHili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki.
Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu?
Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi?
Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi?
Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema?
Au ni watanzania wanataka mabadiliko CCM imewachosha?
Naomba maoni na mtazamo wenu Tafadhali!
☝️☝️☝️Au ni watanzania wanataka mabadiliko CCM imewachosha?
Kwahiyo wewe una mapenzi na mtu anayezungumzwa na kila mtu!Hahahaha ukienda kwenye mikutano yote ya CCM wanamuongelea Lissu, Mbowe na Lema. Hata juzi kwenye uchaguzi mdogo Buhigwe na wewe pia hapa unaizungumzia CCM kwa mgongo wa Lissu.
Sasa wananchi wataachaje kuwa na mapenzi kwa mtu anayezungumziwa na kila mtu??
Learn to mind your own business
Wengi walijitokeza kumuona mtu aliyetoka mautini na kuwa tena hai....Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki.
Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu?
Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi?
Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi?
Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema?
Au ni watanzania wanataka mabadiliko CCM imewachosha?
Naomba maoni na mtazamo wenu Tafadhali!
Sasa 5000 ni wachache?Watu wengi ni watu wangapi?
TAnzania tuna watu zaidi ya 60m, wakijitokeza kwenye mkutano watu elfu 5 unaweza kusema wengi.
Majibu mazuri snWananchi wengi hata wale CCM kindakindaki, Kanda ya Ziwa na wasomi tulimuunga mkono Tundu Lissu chinichini kwasababu alikuwa anapambana na adui namba moja wa taifa letu. Kiongozi huyu aliwahi kufanya uhaini mkubwa dhidi ya Jamhuri ya Muungano na mikono yake ilikuwa imejaa damu na vilio vya mamilioni ya watanzania wasiokuwa na hatia.
Hata familia yake hawatatokaSasa 5000 ni wachache?
Itisha wewe mkutano uone kama utapata hata watu 10
13% za Tundu Lisu katika mazingira yale siyo haba bwashee!Bila kuiba kura, kucheza rafu kwenye mchakato mzima wa uchaguzi kwa kutumia usalama wa Taifa, Polisi na NEC, CCM wanajua kuwa hswana chao