Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
š¤£Hata familia yake hawatatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£Hata familia yake hawatatoka
Seenš¤£
As far as anaongea vitu vinavyo-click lazima nimsapotiKwahiyo wewe una mapenzi na mtu anayezungumzwa na kila mtu!
Kwangu mimi 5000k bado ni wachache. Ndio maana nikasema inategemeana na mtazamo wa mtuSasa 5000 ni wachache?
Itisha wewe mkutano uone kama utapata hata watu 10
Sio familia yangu tu, hata mimi mwenyewe sitatokea.Hata familia yake hawatatoka
TeteteetSio familia yangu tu, hata mimi mwenyewe sitatokea.
Taarifa za uhakika zinaonyesha kwamba Tundu Lissu aliungwa mkono zaidi Kanda ya Ziwa baada ya kufichua hadharani mauaji ya kishenzi ya wavuvi wasio na hatia baada ya kukamatwa wakivua Lubondo ambalo ni eneo alijimilikisha mungu mtu , wavuvi wote zaidi ya 100 waliokutwa kule waliuliwa kinyama sana !Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki.
Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu?
Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi?
Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi?
Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema?
Au ni watanzania wanataka mabadiliko CCM imewachosha?
Naomba maoni na mtazamo wenu Tafadhali!
Kushawishi watu siyo jambo dogo achilia mbali kujishawishi mwenyewe!Kwangu mimi 5000k bado ni wachache. Ndio maana nikasema inategemeana na mtazamo wa mtu
Umeandika as if unanijua, kwamba nikiita mkutano hata watu 10 hawatafika.
Kukufurahisha zaidi ni kwamba hata mtu mmoja hatatokea na hata mimi mwenyewe sitatokea.