Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

Sasa 5000 ni wachache?

Itisha wewe mkutano uone kama utapata hata watu 10
Kwangu mimi 5000k bado ni wachache. Ndio maana nikasema inategemeana na mtazamo wa mtu

Umeandika as if unanijua, kwamba nikiita mkutano hata watu 10 hawatafika.

Kukufurahisha zaidi ni kwamba hata mtu mmoja hatatokea na hata mimi mwenyewe sitatokea.
 
Taarifa za uhakika zinaonyesha kwamba Tundu Lissu aliungwa mkono zaidi Kanda ya Ziwa baada ya kufichua hadharani mauaji ya kishenzi ya wavuvi wasio na hatia baada ya kukamatwa wakivua Lubondo ambalo ni eneo alijimilikisha mungu mtu , wavuvi wote zaidi ya 100 waliokutwa kule waliuliwa kinyama sana !
 
Kwangu mimi 5000k bado ni wachache. Ndio maana nikasema inategemeana na mtazamo wa mtu

Umeandika as if unanijua, kwamba nikiita mkutano hata watu 10 hawatafika.

Kukufurahisha zaidi ni kwamba hata mtu mmoja hatatokea na hata mimi mwenyewe sitatokea.
Kushawishi watu siyo jambo dogo achilia mbali kujishawishi mwenyewe!
 
Ccm ni wezi watupu! Tuwaache wakina Halma nao wajoin kambila wezi!!!
 
1 huruma. 2 kutaka kumuona kwa macho baada ya matatizo yaliyomkuta na kwakuzingatia alizungumziwa sana kuliko kipindi chochote. 3 watazania hatueleweki ni kiongozi wa aina gani tuna muitaji. Ata lisu mwenyewe wanao msifu ni kwasababu hajapata iyo nafasi akipata miezi 6 mingi, watamgeuka. Ukweli tunaamini ktk miujiza na sivinginevyo. Tuitaji kiongozi awe mfano wa malaika.
 
..mimi nilipenda alivyomdindishia Afande Sirro, na rpc wa mkoa wa pwani.

..mgombea angekuwa nyalandu labda angekuwa anafunga mikutano ya kampeni saa 9 adhuhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…