Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, ni lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?

Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi
 
Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?

Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?

Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?
 
Wewe utampenda mtu aliyetaka kukuua? Unajifanya umesahau alivyosema ukiwa vitani na akatokea msaliti, mnamaliza manaendelea. Clip ipo. Ati vita ya kiuchumi! Your president is a DEVIL, you will realise this one day.
 
Imedhihirika kuwa uongozi wa juu ulihusika kumdhuru Lissu. Inakuwaje mtu amepigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu akanyimwa na kufukuzwa ubunge.

Anafukuzwa ubunge then anawekwa wa ccm huyo unayemtetea anawaambia wananchi wachache waliojitokeza kupiga kura na kumsikiliza Sasa nitaleta maendeleo.

Hii kauli inakera Sana

Mfano sisi huku Mbeya, Magufuli hatumtaki lakini Kodi tunalipa zaidi ya mikoa yenye mizizi na ccm Basi pesa zetu badala ya kuendeleza Mbeya anapeleka huko kwenye misukuma myenzie

Mnatukera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu aliulizwa swali na mpiga simu mmoja kipindi cha miandishi wa kujitegemea Mubelwa Bandio, Washington DC, kama ana chuki na Magufuli.

Alijibu vizuri sana kwamba upinzani wake kwa Magufuli ni wa kisiasa tu, hana chuki binafsi.
 
Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?

Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?

Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?
Alilitaja na jina la Lisu pia. Alisema kuwa Lisu alikuwa anaulizia information toka Acacia. Akasema huyu ni msaliti. Akasema, tupo katika vita. Wanajeshi wanajua msaliti wakati wa vita anafanywa nini. Kilichofuatia hotuba hiyo, sote tunajua.
 
Imedhihirika kuwa uongozi wa juu ulihusika kumdhuru Lissu. Inakuwaje mtu amepigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu akanyimwa na kufukuzwa ubunge.

Anafukuzwa ubunge then anawekwa wa ccm huyo unayemtetea anawaambia wananchi wachache waliojitokeza kupiga kura na kumsikiliza Sasa nitaleta maendeleo.

Hii kauli inakera Sana

Mfano sisi huku Mbeya, Magufuli hatumtaki lakini Kodi tunalipa zaidi ya mikoa yenye mizizi na ccm Basi pesa zetu badala ya kuendeleza Mbeya anapeleka huko kwenye misukuma myenzie

Mnatukera sana

Sent using Jamii Forums mobile app


Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?
Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Kwani mkuu wewe unafikiri unapendwa na watu wote?ndio maana hata wakati wa kugombea uraisi wameweka mfumo wa kura kwakuwa wanajua hata sera zako zingekuwa nzuri kwa kiasi gani lakini lazima kutakuwepo na wanaokuchukia au wasiokupenda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up, hata kisaikolojia tu huwezi kupigwa risasi karibia kufa halafu siku ya kwanza tu unafungua kinywa kutoka kwenye coma tayari unaanza vita, no one does that, watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...
 
Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up!
Kuna tofauti kubwa sana kati "logics" na "credible information" kwa ni vyema tusubiri orodha zaidi kutoka kwa mabeberu. Naona hata makala ndani ya "Washington Post" imeanza kuunganisha "dots"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Walijua hatapona,hata kwenda Nairobi walijua eventually atakufa, walipigwa upofu

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Kuna tofauti kubwa sana kati "logics" na "credible information" kwa ni vyema tusubiri orodha zaidi kutoka kwa mabeberu. Naona hata makala ndani ya "Washington Post" imeanza kuunganisha "dots"

Sent using Jamii Forums mobile app


Lkn kisaikolojia mtu aliyenusurika kifo huwa haanzishi vita siku ya kwanza amepata ahueni hata watu wa medicine watakwambia, tukio kama hilo kwa kawaida hubadilisha maisha ya mtu for good, lkn Tundu Lisu hakuna kilichobadilika yuko vile vile before and after, hiyo ni ajabu sana.
 
Back
Top Bottom