Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

You are out of touch video zipo wenye kumbukumbu watakuwekea hapa subiri kidogo
Huyu ni kinyesi Cha huko kwao ameibuka tu hata hafatili Mambo kwa kina anakurupuka kuweka uharo wake hapa
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?

Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Haya maovu anayoyafanya Magufuli na Makonda hayayezi kupita hivi hivi hata kidogo. Kuna miisho mibaya kwa watu hawa ambayo mifano ipo.

1. Wanaweza wakakimbia nchi kama.akina Yahya Jammeh wa Gambia au Blaise Compaore wa BurkinaFaso. Hawa wawili waliua, waliiba na walijisahau kwenye madaraka kama anavyofanya Magufuli.

2. Tunaweza kuwapeleka ICC kwenye Mahakama ya uovu dhidi ya binadamu kama alivyopelkwa Laurent Bagbo wa Ivory Coast. Vitendo anavyofanya Magufuli na Makonda vya mauaji ya Ben Saanane, Azory Gwanda, mauaji ya MKIRU na mashambulizi kwa Tundu Lissu vinatosha kumfikisha ICC kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa. Clips zipo na waliopiga risasi akina Herry Kisanduku na Bwire wapo.

3. Aweza kutolewa kwa nguvu ya umma kama Omar Bashir wa Sudan na akapelekwa Segerea kama yeye anavyowapeleka kina Eric Kabendera. Wapambe wa Magufuri wanajidanganya sana, eti wanamuona Magufuri kama Rais mwenye nguvu wakati nguvu zenyewe ni za TISS, Police na TPDF na NEC. Ukifika wakati vyombo vyote vinakuchoka na wanakuacha ujitetee mwenyewe kama alivyoachwa Omar Bashir.

Ni suala la muda hao niliowataja hapo walikuwa na maguvu ya kutisha kuliko Magufuli lakini wakati ulipofika walidhalilishwa.

Tundu Lissu hata kama hawezi kuwa Mbunge wa Singida tena au Rais wa Tanzania lakini Mungu amemuepusha na kifo ili aje amshuhudie Magufuli na Makonda wakiwa WAMEDHALILISHWA.
 
Siyo Lisu tu, nami namchukia Jiwe kwa vile:
1. Anavunja haki za binadamu
2. Anavunja Katiba ya nchi
3. Anavunja sheria za nchi kwa ujeuri
4. Anaua watu kwa risasi, kuwapoteza, kuwateka etc.
5. Anaua uchumi wa nchi
6. Ni dictator

Kwa uchache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...

Kama umefundishwa kumwachia Mungu mambo ambayo ufanyiwa na binadamu (m)wenzako basi kaa ukijua kuwa umefundishwa ujinga!
Na kama unaamini na kunafanya basi wewe ni mjinga!
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?

Plan A, B, C na D ilikuwa afie pale pale kwenye gari... Iliposhindikana ikaja plan E akafie Muhimbili....
Majasusi wabobezi wakatibua dili za akili ndogo...
 
Nadhan hujui kama kuna Amir jeshi wa majeshi yote ulimwenguni na mbingun chukua tafakar na chukua hatua
Hivi wewe unaelewa unachokiongea? Serikali yote na machinery yake waamue kukuuwa watashindwa? Yaani Amiri Jeshi Mkuu aamrishe uuwawe halafu washindwe na kwenda kukutibu Hospitalini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?

Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Ungekuwa ni wewe umenusurika kifo kwa kupigwa risasi zote hizo ungejisikiaje? Acha unafiki. Kuwa mkweli.
 
Swala la uvunjaji wa haki za binadamu linalofanyika ktk utawala huu Magufuli lazima atawajibika tu siku moja. Tuweke macho.

Na kama atafanikiwa kupona hapa duniani kama Moi, huko atakakoenda wao wana-deal na roho tu, hawajui huko duniani ulikuwa rais na kuwa kwenye msiba wako walipiga mizinga 21, hayo hayawahusu.

Miaka kumi ni michache sana na kama hukuwekeza kwenye mahusiano mema na jamii, huko mbele hata upewe ulinzi gani lkn utakuwa paranoid tu na hutakuwa na amani moyoni.
 
Asante kwa maneno mazuri sana.
 
Back
Top Bottom