Lissu ana akili saana, Watu kama hawa kutokea kwa nadra sana hapa duniani....hata wewe mtoa hoja ukikaa na Lissu face to face muulize swali lako hilo na mengine yote uliyonayo then uone baada ya meeting itakuwaje..
Wasiojulikana si wajinga kuamua kukata kichwa chake kwa AK47.
Wasiojulikana si wajinga kuamua kukata kichwa chake kwa AK47.