Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up, hata kisaikolojia tu huwezi kupigwa risasi karibia kufa halafu siku ya kwanza tu unafungua kinywa kutoka kwenye coma tayari unaanza vita, no one does that, watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...
Lissu ni type ya akina Che Guevara, can't tolerate any type of injustice and discrimination. He will fight to the last drop of his blood only to see a fair and rightful regime in the society. He just has sacrificed his life for the cause of fellow Tanzanians who are brutalized by the authoritarian regime of dictator Magufuli
 
Lkn Tundu Lisu haamini Mungu na wala hajawahi mtaja popote kwenye mahojiano yake, yeye ni chuki na visasi tu.
Risasi 38?? Nadhani kungekua na pole ya dhatina taarifa ya uchunguzi hadharani Lissu angesema Hewala Mungu atamlipia
Lkn Tundu Lisu haamini Mungu na wala hajawahi mtaja popote kwenye mahojiano yake, yeye ni chuki na visasi tu.
Duh, Binadamu wa leo
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana? Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Lissu ana wivu kwa rais yeyote. Hata jk alimchukia bila sababu.
 
Kazi ya ushindani wa kisiasa ni kukosoana. Kwa bahati mbaya sana rais wetu siyo mwanasiasa mwerevu na mahiri hivyo kuwapa washindani nafasi kubwa ya kumkosoa. Kibaya zaidi rais wetu hana uvumilivu wa kisiasa na huchukulia ukosoaji personally.
Ndiyo hivyo.

Kingine, naona kuna ushamba na ukosefu wa usomi miongoni mwa watu wengi.

Watu hawa, hawana uwezo wa kufikiria, au hawataki kufikiria, kwa dhana na hoja, mirengo ya siasa, itikadi, sera, namna za chumi tofauti zinavyofanya kazi na demokrasia inavyopelekea chumi hizo tofauti, habari kama za utawala bora na wa sheria ukizichambua hawaelewi au hawataki kuelewa.

Akili zao fupi, haziwezi kuzama kwa kina kwenye dhana.

Kuna msemo, simple minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Hawawezi kuvuka kutoka hapo kwenye simple minds kwenda kwenye great minds, sanasana wataishia average minds, kudiscuss watu na events.

Ndiyo maana, Tundu Lissu akitumia uhuru wake wa kikatiba kumkosoa Magufuli, kama rais, hawa watu wenye akili fupi wanakuwa hawaoni hilo, au hawataki tu kuona hil kama linatokana na dhana ya kwamba tunaishi katika nchi huru, yenye demokrasia, ambayo watu wa vyama tofauti na mirengo tofauti watatofautiana na kupingana.

Watu hawa wenye akili fupi, kitu cha kwanza watakachokiona kwa akili zao fupi, ni chuki ya mtu na mtu.

Hawana uwezo wa kuwaza zaidi ya hapo, hawana uwezo wa kuchambua sera, itikadi, mirengo, sheria, katiba etc.

Hata mimi nishaambiwa mara kadhaa hapa namchukia Magufuli, kwa sababu nimemkosoa tu.

Ni mambo ya aibu sana kwamba mpaka mwaka huu 2020 watu wanatembea na internet mkononi, lakini, mtu akitoa maoni yake kwa misingi ya kutumia uhuru wa kisiasa aliopewa kikatiba, anabandikwa habari za chuki.
 
Je mleta hoja umepata jibu sahihi? Kuku akikatwa kichwa na akaendelea kuishi lazime lazima wlioshuhudia waweweseke. Ndio maana hata mleta hoja ana wenge, na hadhanii kuona TL anafurukuta
 
Watanzania ndio walimhudumia wakat alipopatwa na matatizo, kwasababu mali ya serikali nimali ya umma na umma ni watanzania, viongoz hao ni wawakilishi tuu kwetu kwa maana nyingine ni watumish wetu, sema akili za watumishi (viongozi) wetu wa nchi za dunia 3 wanazijua wenyewe

Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?

Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Kama hukusika ni wewe tu. Rais wako ni mropokaji aliyebobea
 
Alilitaja na jina la Lisu pia. Alisema kuwa Lisu alikuwa anaulizia information toka Acacia. Akasema huyu ni msaliti. Akasema, tupo katika vita. Wanajeshi wanajua msaliti wakati wa vita anafanywa nini. Kilichofuatia hotuba hiyo, sote tunajua.
halafu bila aibu wala haya....baada ya tukio la kujaribu kumuua akajifanya kutoa pole ya kinafiki...HII nchi inaongozwa na watu wenye laana
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Watanzania sio wauaji. Baada ya wauaji kumaliza kazi yao watanzania madaktari walimpokea na kumsaidia huku wengine wakimwombea kwa Mungu auto uhai wake. Tukio lile limeweka alama mioyoni mwa watanzania wengi kama tukio la ukatili dhidi ya binadamu na jaribio la wenye mamlaka kumnyima haki ya kuishi TL
 
Lissu bhana ni mwana sharia mzuri sana, sema ni mlopokaji na temper yake pia ni kubwa, sikubaliani na shambulio la kutoa uhai wowote wa raia iwe mwana siasa au raia wa kawaida, lakini kabla ya shambulio tundu lissu alishaonyesha dalili kibao na negative nyingi katika serikali ya awamu ya tano, hata ukiwa mpinzani lazima ujue pia kuna serikali ,fanya mambo ya kipinzani lakini kumbuka serikali ipo na fuata sharia ,ni tundu huyu huyu ndio kaja na neon dictactor uchwara mbele ya vyombo vya habari, tyrant , tutamnyoosha magufuli ,kumbukeni tundu lissu mdomoni ni mzima balaa, halafu bila break na kujitengenezea maadui yeye mwenyewe bila kujua, mimi baada ya shambulio nilitoa tu ushauri kuwa tundu lissu atulie aachane na mambo ya kupigana na serikali, hata shinda, ni ngumu kushindana na serikali, hata ukilala USA na ukawa na meeting kila siku na trump sijui nani bado huwezi shinda, ni bora atulie alee watoto wake, mimi nina mfano wa Dai laima, alikuwa kila siku yupo hapo USA, ilifika muda hata Obama ana mkacha.

Mtandao wa serikali ni mkubwa kama wana nia ovu na lissu kama wengi tunavyoamini, inaweza kumdhuru mahali popote alipo, mungu aniepushe mbali kwa kauli hii, hivyo yeye atulie au afanye siasa za kwa njia tofauti, ana familia na watoto wana mtegemea , ni bora tuseme ukweli tumuepishe na majanga mengine.

Miguna miguna yuko wapi, aligoma eti yeye hatoki chini Kenya ,waka dunga sindano akajikuta yuko kwenye pipa anakwenda Canada by force, halafu akasindikizwa na somebody mwandishi wa habari Kenya ambaye yuko karibu na utawala wa sasa , akawa anamwangalia tu, hizi case zote zipo, sio kwamba zina halalisha maovu no zinatufundisha nini kama wanasiasa wajao pengine, tufanye mabadiliko lakini kwa makini.

Wangalau ww umeamua kuongea ukweli na kutoa ushauri sahihi, kwamba aliyofanyiwa Tundu ndio hali ilivyo unaposhindana na serikali, na sio huyo mleta uzi kubadilisha ukweli. Mkuu bila kupinga maoni yako, ni nadra sana kujaribu kuleta mabadiliko huku Afrika kwa hiyo njia usemayo ya umakini bila kuwa ngangari. Ndio maana unaona Mbowe anataka maridhiano kwa lugha kama mchungaji anawahubiria waumini mbinguni kulivyo pazuri, lakini anaishia kubezwa na kupuuzwa. Ila akitaka apate akitakacho aanze kutangaza maandamano na yawepo kweli, hata watu wakifa hapo lazima madai yake yatafanyiwa kazi. Huo ni uzoefu uliopo hasa huku Afrika.
 
Huu mjadala umeuleta hapa lakini nina uhakika utajuta kuuleta
Kila mtu ana maono yake katika kila jambo! Mfano ni huu ambapo ambapo kauli ya Pompeo inapingwa na mmarekani mwenzie kuhusu kumkataza Makonda na Mke wake kuingia Marekani, kuwa ni human right abuse. Endelea

Should active enemies of freedom be allowed into free countries? In 2007, speaking at Columbia University in New York City, then-President of Iran Mahmoud Ahmadinejad memorably declared that there are no homosexuals in Iran, drawing derisive laughter from the audience. He also made similarly outrageous remarks about the Holocaust and women’s rights in Iran. Thousands protested, and the world saw him for what he is – an ignorant bigot who as president exhibited “all the signs of a petty and cruel dictator,” as the university’s president put it in his introduction. Untrue and immoral speech tends to discredit itself, especially under scrutiny, and that is precisely why it should not only be permitted but welcomed.

Secretary Mike Pompeo last week declared Paul Makonda and his wife, Mary Massenge, ineligible for entry into the United States. In a statement released by the U.S. State Department, Pompeo said he was banning Makonda “due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons.” He did not state which right violations specifically led to the decision. I say, let him come, and treat him to some good old American free speech.

Makonda is the administrative chief of Dar es Salaam, Tanzania’s largest city and commercial center. He rose to international infamy in 2018, when he urged the public to report suspected homosexuals, so that they can be tracked down and arrested. The result was panic in the East African country’s gay community and a massive outcry, which eventually prompted the government to distance itself, if only halfheartedly.

Makonda’s crackdown on sexual minorities is part of a broader attack on civil and political rights in Tanzania. Since President John Magufuli took office in 2015, his government has arrested opposition leaders, shut down newspapers, and launched a legislative assault on free speech and political dissent. Makonda is regarded as a close ally of Magufuli, and the U.S. State Department notes in its statement that “he has also been implicated in oppression of the political opposition, crack-downs on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.”

In addition to orchestrating an anti-gay witch-hunt, questionable highlights of Makonda’s political career further include proposing a database of married men to curb infidelity, instructing nightclub owners in Dar es Salaam to allow church leaders to preach at their venues, and his involvement in the police harassment of comedian Idris Sultan in a row over face-swap photos of Sultan and Magufuli. Makonda has long been a laughing stock among Tanzania’s intelligentsia, and has proven beyond a doubt that he has no business in governance.

Makonda is a human rights pariah, and Pompeo is to be applauded for not mincing his words and publicly naming and shaming him as such. The world’s democracies have a moral duty to make human rights a cornerstone of international diplomacy, and to take human rights violations seriously, wherever they occur. The Trump administration, to which Pompeo belongs, in fact has itself earned its fair share of being called out. Banning Makonda and his wife from entering the United States, however, betrays the very values the ban presumably aims to promote, and is plainly counterproductive.

Human rights protect essential human interests, and many such interests presuppose the ability to move freely, both within and across national borders. It is important to have the ability to move freely in order to achieve goals that are central to a meaningful life. For example, one may wish to visit loved ones who live in a different place, pursue cultural or professional opportunities that are not available at one’s current location, or meet and exchange ideas with people at international conferences. That is why there is a right to freedom of movement, and one thing about human rights is that everyone has them equally. That includes Makonda. A country is not someone’s house, to which you may be denied entry arbitrarily, and the U.S. government would be morally justified in banning Makonda from entering only if doing so was to serve an extraordinarily important purpose that cannot be achieved otherwise. But it does not. There is no reason to believe that Makonda would pose a threat to anybody if he were to visit, or that he would be a financial burden to the United States. The same is true for Massenge, who seems guilty only of being associated with her husband. If the purpose of the ban is to send a message about the importance of human rights, surely there are better and more credible ways than to infringe upon those very rights, without trial and without recourse.

Having Makonda come to the United States would be an opportunity for the U.S. government to further emphasize its stance, including by denying him the honors usually afforded to visiting foreign dignitaries, and for people there to protest him and challenge his views without fear, which is not possible in Magufuli’s Tanzania. The brave Tanzanians who are working to change that – and towards the day when people like Makonda will not be able to misgovern with impunity – deserve our admiration and full support.

Dr. Rainer Ebert is a Fellow of the Oxford Centre for Animal Ethics. He taught philosophy at the University of Dar es Salaam in Tanzania from 2017 to 2019 and now lives in Texas. He can be reached at www.rainerebert.com

Imetokea: https://www.newsghana.com.gh/let-makonda-come/amp/
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?

Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Tundu Lissu ni shetani in human disguise aliyeletwa na Lucifer kuiangamiza Tanzania. Na kwasababu Rais Magufuli yupo na Mungu wa Kweli, tarishi wa Lucifer Lissu atashindwa tu na Tanzania itazidi kusonga mbele!!
 
Kwahiyo Lissu ni Ibilisi mkuu?
Kwa taarifa yako Lissu sio mshirikina ndio maana unaona hajiweki karibu na viongozi wa dini ili kuhadaa umma kuwa ni mcha Mungu. Ukiona mtu anajifanya kumtaja Mungu sana na kuwa karibu na viongozi wa dini kwa lengo la kujionyesha kwa watu, mfuatilie vizuri mtu huyo utamkuta ni ibilisi wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia
"Kuna mtu Furani Tulikuwa "TUNA TREPU" simu zake mara alikuwa anamwagiza Mwanyika leta Document hii mara leta document hii,Ndugu zangu vita ya uchumi ni mbaya sana,Dawa ya msaliti jeshini wanajua jinsi wanavyofanya hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusavaivu" - NAOMBA MNIOMBEE
 
Lkn Tundu Lisu haamini Mungu na wala hajawahi mtaja popote kwenye mahojiano yake, yeye ni chuki na visasi tu.
Mahojiano ya kisiasa,kisheria au kidini? je huyo mungu Magufuli amemtaja Mungu .mara ngapi na je matendo yake yanaonekana kama ni mtu anaye mjua Mungu?
Lkn Tundu Lisu haamini Mungu na wala hajawahi mtaja popote kwenye mahojiano yake, yeye ni chuki na visasi tu.
Magufuli anamtaja Mungu kila siku ila roho mbaya,pepo la kusema uongo na unafiki wala roho ya kuua haijamuacha,Wanao mjua Mungu wanatambulika kwa matendo yao na si usanii kama wa Magufuli
 
Back
Top Bottom