Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

Wewe utampenda mtu aliyetaka kukuua? Unajifanya umesahau alivyosema ukiwa vitani na akatokea msaliti, mnamaliza manaendelea. Clip ipo. Ati vita ya kiuchumi! Your president is a DEVIL, you will realise this one day.
Nimependa sana hapo uliposema "your president is DEVIL".

Nilikasirika nilipoona mtoa hoja anasema "rais wetu" ingawa sikuelewa alikuwa anamaanisha rais wake na nani?!?!? DEVIL awe rais wetu?!?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Mtoa huduma mkuu wa kwanza DrMwakyusa(Aliyekuwa katibu mkuu Afya) tuambie nini kilimpata baada ya hapo? Na yupo wapi sasa?
 
kokoto ndio ana chuki na lissu na anamuogopa balaa,, kama huamini wee vaa tisheti ya lissu, ndio maana hamtajagi hovyo hovyo kama watu wengine, amemfanya lissu sio mtu, yaani ni kama mnyama fulani anaetakiwa kuuwawa!
 
Hawakujua aliyekusudia kumuua, pia walijua wanatimiza majukumu yao kutoa huduma lakini walijua hatapona
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa huduma mkuu wa kwanza DrMwakyusa(Aliyekuwa katibu mkuu Afya) tuambie nini kilimpata baada ya hapo? Na yupo wapi sasa?

Wewe ndo useme unayejua kilichiwapata waliokoa maisha ya Tundu Lisu, tujuavyo sisi alitibiwa na Serikali ya JMTZ!
 
Tundu Lissu ni pepo ,hatamuweza rais Magufuli hata siku moja,analipwa kwa kulitaja jina la rais Magufuli,asipolitaja atakufa njaa
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana? Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu na anayeipenda Tanzania na watu wake hawezi kumpenda huyu Magufuli wa sasa mwenye roho ya shetani

Lkn hapa naongelea mtu aliyenusurika kifo, chuki ni kitu cha mwisho anachohitaji, wewe unaweza kuwa na chuki lkn siyo Tundu Lisu.
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Mungu wa mbinguni ni mkuu sana kuliko huyu mungu wako magufuli unaye muabudu.Huyo aliyemuokoa na risasi 38 ndiye huyo huyo aliyezuia kufanyika kwa hayo unayoyataka na ndo huyo huyo atakamwezesha Lissu kushuhudia Magufuli anavyokufa kifo kibaya
 
Hivi sababu hasa ni ipi?

Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?

Au ni wivu tu?

I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?

Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana? Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...

Huyo rais wako anampenda Lissu? Anachosema Lissu dhidi ya rais yuko sahihi ila hana madaraka ya kufanya tuhuma zake kufanyiwa kazi. Lissu hahitaji kumtaja Mungu kinafiki kwani hata wanaomtaja Mungu na kuzungukwa na viongozi wa dini, matendo yao hayaakisi kumtii Mungu zaidi ya kuhadaa umma.
 
Mungu wa mbinguni ni mkuu sana kuliko huyu mungu wako magufuli unaye muabudu.Huyo aliyemuokoa na risasi 38 ndiye huyo huyo aliyezuia kufanyika kwa hayo unayoyataka na ndo huyo huyo atakamwezesha Lissu kushuhudia Magufuli anavyokufa kifo kibaya

Lkn Tundu Lisu haamini Mungu na wala hajawahi mtaja popote kwenye mahojiano yake, yeye ni chuki na visasi tu.
 
Mkuu muheshimiwa raisi alisema kuhusu wasalaliti kwenye vita wakijulikana wanaweza kuuwawa.
Hakusema wasaliti wauwawe au watauwawa.

Mh raisi aliongea ukweli lakini ambao unamgharimu sasa kwa kuchafuliwa jina lake, huenda hakutoa amri ya Lissu kushambuliwa.
Mimi naamini Lissu anathiriwa na hisia za uchungu kwa yaliyo mkuta, kimsingi anayo haki ya kulalamika lakini hana haki ya kumrushia lawama au mashambulizi binafsi Mh. Magufuli kama hajamuona na kumsikia akitoa amri ya yeye kushambuliwa..
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?

Wakati akipata hizo huduma za mwanzo hawakuwa wametegemea atapona. Hao waliompatia huduma ya kwanza hawakuwa kwenye huo mpango wa uovu. Usidhani kila mtu huwa anashiriki uovu. Na ingetokea tu apelekwe Muhimbili hivi leo asingekuwepo.
 
Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up, hata kisaikolojia tu huwezi kupigwa risasi karibia kufa halafu siku ya kwanza tu unafungua kinywa kutoka kwenye coma tayari unaanza vita, no one does that, watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...

Kama mlimpiga risasi ili akipona awe muoga au asiwe msemakweli basi mmechemsha. Ataendelea kusema ukweli bila hofu yoyote.
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?

Waliamini hawezi pona, hata ile kukubali ahamishiwe Nairobi walikubali wakijuwa hawezi fika Nairobi akiwa anapumua.

Ndiyo maana Wabunge wa ccm walizuiwa hata kwenda kumwona.

Makamu wa Rais alipoenda kwenye sherehe alipitia kumwona ili kuziba gape la lawama.

Kama ni uchungu na huruma kwa Mbunge, kwa Nini PM, SPIKA, NAIBU SPIKA hawakwenda?
 
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Mwache Mungu aitwe Mungu na siku zote ziimbe sifa na utukufu wake! Mungu hajawahi kushindwa Jambo lolote na ndiye aliyezigeuza roho, mawazo na matendo ya waliomwaattend Lissu siku Ile nao wakata shauri la kumtumikia Mungu badala ya maagizo waliyopewa! Mungu akawabariki na kuwalinda ili kuvishinda vitisho na manyanyaso na masimango waliyoyapata kutoka ka wauaji wale!
 
Back
Top Bottom