Alilitaja na jina la Lisu pia. Alisema kuwa Lisu alikuwa anaulizia information toka Acacia. Akasema huyu ni msaliti. Akasema, tupo katika vita. Wanajeshi wanajua msaliti wakati wa vita anafanywa nini. Kilichofuatia hotuba hiyo, sote tunajua.Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?
Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?
Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?
Imedhihirika kuwa uongozi wa juu ulihusika kumdhuru Lissu. Inakuwaje mtu amepigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu akanyimwa na kufukuzwa ubunge.
Anafukuzwa ubunge then anawekwa wa ccm huyo unayemtetea anawaambia wananchi wachache waliojitokeza kupiga kura na kumsikiliza Sasa nitaleta maendeleo.
Hii kauli inakera Sana
Mfano sisi huku Mbeya, Magufuli hatumtaki lakini Kodi tunalipa zaidi ya mikoa yenye mizizi na ccm Basi pesa zetu badala ya kuendeleza Mbeya anapeleka huko kwenye misukuma myenzie
Mnatukera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia jaribio lililoshindwa!Nawe jiulize, kwanini Meko alifanya jaribio la kumuua Tundu Lissu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi sababu hasa ni ipi?
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?
Au ni wivu tu?
I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?
Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana?
Walikuwa kwenye panic mood kwa kuwa hawakuwa na plan BNani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Kuna tofauti kubwa sana kati "logics" na "credible information" kwa ni vyema tusubiri orodha zaidi kutoka kwa mabeberu. Naona hata makala ndani ya "Washington Post" imeanza kuunganisha "dots"Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up!
Walijua hatapona,hata kwenda Nairobi walijua eventually atakufa, walipigwa upofuNani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Kuna tofauti kubwa sana kati "logics" na "credible information" kwa ni vyema tusubiri orodha zaidi kutoka kwa mabeberu. Naona hata makala ndani ya "Washington Post" imeanza kuunganisha "dots"
Sent using Jamii Forums mobile app