Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Siasa mchezo mchafu
Siasa ni vita
Siasa ni Tafuta nikutafute

Siasa Ni hatari sana
Lisu amekuja kasi sana sasahivi

Cc Smart911
 
Siasa mchezo mchafu
Siasa ni vita
Siasa ni Tafuta nikutafute

Siasa Ni hatari sana
Lisu amekuja kasi sana sasahivi

Cc Smart911
Mleta mada aje asema kama ashawahi ona mpinzani anapewa airtime hata ya bahati mbaya TBC...
 
Kwa tulipofikia ni ngumu kuwapangia wananchi nini cha kusikiliza.
 
Niliwahi sema humu baadhi ya Watanzania mna roho mbaya sana bora hata ya Wazulu mtu kapigwa risasi zaidi ya 20 lakini mpo busy kumsakama akitafuta haki yake.
Inakera sana kiasi unajiuliza ni siasa tuu au kuna utaahira ndani yake. Siasa zimewafanya baadhi ya watu kuwa katili na mazombie
 
Kwa nn raisi anapewa airtime kunwa Tbc kuliko lisu wakati ile ni ya wananchi.
 
Back
Top Bottom