Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Mleta mada utatukanwa, sana tu, lakini huo ndo ukweli kwa upande wa ITV. Hali huwa hivyo Kila atawala Raisi mwenye asili ya dini flani. Fuatilia vipindi vya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa huyu Samia. Utaona utofauti mkubwa wa utoaji wao wa habari.
 
Dami ya mtu ni mbaya sana. Wakati wa Daniel kwenye Utawala wa Mfalme Dario( Darius) baraza la mawari( maliwali) lilimlia njama Nabik Daniel ili vyombo vya Dola vimkamate na kumuua kwa Kumtupa kwenye Shimbo la Simba.

Aisee kilichotokea ni kwamba Wake, na watoto wa mawaziri na mawaziri wenyewe wote waliupwa wao. Simba waliwalarua vibaya mno wakafia mle.

Na sasa Mungu amemfunulia haki Tundu Lissu kwa namna nyingine kabisa ambayo hakuna aliyewahi kuifikiria.

Kweli Mawazo.ya Mungu sio kama ya Wanadamu.
Mungu hashindwi sasa mkao wa kusubiri list ya wauaji na watekaji.
Mzee butiku alisema viongozi wakuu wanawajuq
 
Mungu hashindwi sasa mkao wa kusubiri list ya wauaji na watekaji.
Mzee butiku alisema viongozi wakuu wanawajuq
Dunia inaenda ku design tukio lile kama Ugaidi

Kama mnavyojua Ndugu zangu Dunia ikikutaja wewe ni Gaidi Jiandae kabisa utubu zambi zako mapema.
Wanakuzoa sehemu yoyote ulipo
 
Mkuu anzisha TV yako ya kusifu na kuabudu. Utapata watazamaji wengi tu.
Katika private business ya news ni mambumbumbu tu hawaelewi kuwa when a dog bites a man that not news, but when a man bites a dog THATS NEWS!
Erevuka mkuu.
Hizo akili za kuerevuka anazo sasa.Majinga yanayomiliki simu ni mengi sana uku mitandaoni.Mengi yao yanaanzisha mada hazina kichwa wala makalio.
 
Back
Top Bottom