Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Tafuta kirefu cha ITV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu amekuwa akiituhumu serikali na hasa makondo kuhusu jaribio la kuondoa uhai wake wazi wazi,tena mchana kweupe,lakini hatujaona akichukuliwa hatua za kiochochezi.Yumkini tuhuma hizo ni za kweli kwa100%.Hivyo aachwe Mungu afanye kazi yake ya kuwaibua ili nchi iponeUna-akili lkn bado unaonekana wewe ni mjinga - ignorant...kwa hiyo wewe ni KUBWA -JINGA
Hamna kabila linamiliki mali, mali zinamilikiwa na kampuni au mtuHivi lTV ni mali ya kabila gani ?
Yaani kwa akili hizi za kichawa Africa inasafari ndefu sana kuufikia ustaarabu. Na watu wa hivi wako wengi sana nchi hii.There we go again.
Hii ni serious social thinking issue Tanzania.
Ya watu kudhani wengine wanamajukumu na responsibility ya achievements.
Ili ni moja ya tatizo kubwa sana amongst many others in social thinking.
Lazima apatikane mtu wa kunyoosha akili watanzania. Social thinking ya watanzia is serious problem to development.
Mkuu kabila ni code, wenye lq ya kutosha wanajua kabila ni nini na Chadema ni ya naniHamna kabila linamiliki mali, mali zinamilikiwa na kampuni au mtu
BullshitMkuu kabila ni code, wenye lq ya kutosha wanajua kabila ni nini na Chadema ni ya nani
Ni mafiiiii kabisaaaaa.Wewe ni mjinga.
Mkuu kwani Tbc haiwatoshi?Mleta mada utatukanwa, sana tu, lakini huo ndo ukweli kwa upande wa ITV. Hali huwa hivyo Kila atawala Raisi mwenye asili ya dini flani. Fuatilia vipindi vya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa huyu Samia. Utaona utofauti mkubwa wa utoaji wao wa habari.
Tunaizungumzia ITV na undumilakuwili wake mkuu. Pole!Mkuu kwani Tbc haiwatoshi?
Nyumbu bwana, ni watu wa ajabu sana.......kikurupuka tuuuuuuu na hasira!!Anzisha tv station yako uwe unamweka Samia 24/7. Hakuna mtu atakuuliza
Ww ni bogus , mnaturudisha zama za giza , zama za kuish kama Ccmu watakavyo , acha watu wamuhoji wamtakayeTunaizungumzia ITV na undumilakuwili wake mkuu. Pole!
Ndo mnafundishwa hivyo huko madrasaaMleta mada utatukanwa, sana tu, lakini huo ndo ukweli kwa upande wa ITV. Hali huwa hivyo Kila atawala Raisi mwenye asili ya dini flani. Fuatilia vipindi vya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa huyu Samia. Utaona utofauti mkubwa wa utoaji wao wa habari.
Mwisho wa kubishana na mpumbavu ni posts mbili tu za sentensi zisizozidi mbili. Kwaheli....Ww ni bogus , mnaturudisha zama za giza , zama za kuish kama Ccmu watakavyo , acha watu wamuhoji wamtakaye
Sasa pole ya nini? Ile ni private entity, wewe unataka uipangie cha kurusha! Tbc ndiyo yenu so ipangieni cha kufanya hata mkitaka siku nzima wamuonyeshe huyo mtu wenu ni sawa tuTunaizungumzia ITV na undumilakuwili wake mkuu. Pole!