Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Una-akili lkn bado unaonekana wewe ni mjinga - ignorant...kwa hiyo wewe ni KUBWA -JINGA
Tundu amekuwa akiituhumu serikali na hasa makondo kuhusu jaribio la kuondoa uhai wake wazi wazi,tena mchana kweupe,lakini hatujaona akichukuliwa hatua za kiochochezi.Yumkini tuhuma hizo ni za kweli kwa100%.Hivyo aachwe Mungu afanye kazi yake ya kuwaibua ili nchi ipone
 
There we go again.

Hii ni serious social thinking issue Tanzania.

Ya watu kudhani wengine wanamajukumu na responsibility ya achievements.

Ili ni moja ya tatizo kubwa sana amongst many others in social thinking.

Lazima apatikane mtu wa kunyoosha akili watanzania. Social thinking ya watanzia is serious problem to development.
Yaani kwa akili hizi za kichawa Africa inasafari ndefu sana kuufikia ustaarabu. Na watu wa hivi wako wengi sana nchi hii.
 
Anabwabwaja halafu unamsikilizia. Tatizo sio kubwabwaja kwake
Tatizo lako ni chuki binafsi. Pole kwa kumchukia sana huyo binadamu mwenzako
Nawewe ukigongwa risasi nyingi au kuuliwa ndugu yako utalia sana na sio kubwabwaja
 
Bibi yangu marehemu ameshawahi kuniambia kauli moja ambayo inanifanya nitafakari hadi leo
''Mtu kuitwa mchawi sio lazima uwe unaloga watu unaweza kuwa hulogi wala huna matunguli ya uchawi na bado ukawa unafanya matendo au kauli za kichawi''------------RIP bibi yangu leo ndio nimeona ulikuwa na maana gani
 
Mleta mada utatukanwa, sana tu, lakini huo ndo ukweli kwa upande wa ITV. Hali huwa hivyo Kila atawala Raisi mwenye asili ya dini flani. Fuatilia vipindi vya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa huyu Samia. Utaona utofauti mkubwa wa utoaji wao wa habari.
Mkuu kwani Tbc haiwatoshi?
 
Mleta mada utatukanwa, sana tu, lakini huo ndo ukweli kwa upande wa ITV. Hali huwa hivyo Kila atawala Raisi mwenye asili ya dini flani. Fuatilia vipindi vya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa huyu Samia. Utaona utofauti mkubwa wa utoaji wao wa habari.
Ndo mnafundishwa hivyo huko madrasaa
 
Ww ni bogus , mnaturudisha zama za giza , zama za kuish kama Ccmu watakavyo , acha watu wamuhoji wamtakaye
Mwisho wa kubishana na mpumbavu ni posts mbili tu za sentensi zisizozidi mbili. Kwaheli....
 
Tunaizungumzia ITV na undumilakuwili wake mkuu. Pole!
Sasa pole ya nini? Ile ni private entity, wewe unataka uipangie cha kurusha! Tbc ndiyo yenu so ipangieni cha kufanya hata mkitaka siku nzima wamuonyeshe huyo mtu wenu ni sawa tu
 
Back
Top Bottom