Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 27, 2024 #81 Siasa mchezo mchafu Siasa ni vita Siasa ni Tafuta nikutafute Siasa Ni hatari sana Lisu amekuja kasi sana sasahivi Cc Smart911
Siasa mchezo mchafu Siasa ni vita Siasa ni Tafuta nikutafute Siasa Ni hatari sana Lisu amekuja kasi sana sasahivi Cc Smart911
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 28, 2024 #82 Mahondaw said: Siasa mchezo mchafu Siasa ni vita Siasa ni Tafuta nikutafute Siasa Ni hatari sana Lisu amekuja kasi sana sasahivi Cc Smart911 Click to expand... Mleta mada aje asema kama ashawahi ona mpinzani anapewa airtime hata ya bahati mbaya TBC...
Mahondaw said: Siasa mchezo mchafu Siasa ni vita Siasa ni Tafuta nikutafute Siasa Ni hatari sana Lisu amekuja kasi sana sasahivi Cc Smart911 Click to expand... Mleta mada aje asema kama ashawahi ona mpinzani anapewa airtime hata ya bahati mbaya TBC...
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Sep 28, 2024 #83 Kwa tulipofikia ni ngumu kuwapangia wananchi nini cha kusikiliza.
K Kama ipo ipo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,119 Reaction score 1,728 Sep 28, 2024 #84 Isanga family said: Niliwahi sema humu baadhi ya Watanzania mna roho mbaya sana bora hata ya Wazulu mtu kapigwa risasi zaidi ya 20 lakini mpo busy kumsakama akitafuta haki yake. Click to expand... Inakera sana kiasi unajiuliza ni siasa tuu au kuna utaahira ndani yake. Siasa zimewafanya baadhi ya watu kuwa katili na mazombie
Isanga family said: Niliwahi sema humu baadhi ya Watanzania mna roho mbaya sana bora hata ya Wazulu mtu kapigwa risasi zaidi ya 20 lakini mpo busy kumsakama akitafuta haki yake. Click to expand... Inakera sana kiasi unajiuliza ni siasa tuu au kuna utaahira ndani yake. Siasa zimewafanya baadhi ya watu kuwa katili na mazombie
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Sep 28, 2024 #85 Kwa nn raisi anapewa airtime kunwa Tbc kuliko lisu wakati ile ni ya wananchi.