Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Hapa wilayani Chato hakuna dalili za ugeni nadhani kapiga U turn!
Ngoja niende Twitter, huko hakuna uongo watu wana picha za sattelite hivyo hakuna longolongo. Alternativly, nasikia hali ya usalama wake ni ndogo wameamua asiende
 
Tusidanganyane bhana hebu tuwekee hiyo ratiba hapa na uthibitisho wote kama ulivyo
 
Mhaya ambaye hana akili ndiyo wewe nimeona kwa mara ya kwanza, wakurya hawezi kuchagua mtu katili hata dak moja
Wewe mwenye akili nitakuona tarehe 29 ukilalama kuibiwa. Kadeki lami huko!
 
Kama ni mwanasiasa aliyekomaa atumie nafasi hii kurekebisha agenda za kampeni zake na kufafanua Sera ya chama chake ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Aeleze ni Tanzania gani anataka kuijenga.

Aeleze ni kwa jinsi gani Sera hiyo itamtoa Mtanzania hapa alipo kuelekea huko anakowapeleka.

Watanzania wengi bado wanahitaji huduma bora za jamii, aeleze jinsi Sera hiyo itafanikisha.
 
Kanda ya ziwa ndipo ilipo ngome ya kipara na inawatu wengi kuliko kanda zote
Huko anajidanganya, anadhani atawalaghai wale wajamaa kwa kutukana magu na jitihada zake. Amechemka.
 
Punguani hana la kuwapa watanzania. Hiyo saccos itakula jeuri yake 28 oct.
 
Pumbavu kweli Wewe, nani Alikwambia Lissu ni Mnyiramba? Wanyiramba mnao huko Fisiemu majinga yenu Mwigulu na Kitila...
Kwa hiyo unatutukana Wanyiramba tukutane 28/10/2020
Utakutana na nani nyau we
 
Wewe naye takataka tu. Ester Matiku, Ester Bulaya, John Heche, Bukoba katoka Rwakatale.
Daaaah, inasikitisha kwa kweli..
Kuanzia Mwanza, Shinyanga, Musoma, Bukoba, Geita na Simiyu bado wanahesabu Wabunge wanne watano wa Upinzani...!!!??
Tambua kwamba, Safari ya MAGEUZI bado sana..
Hapo ilitakiwa kuwe na Wabunge anagalau ishirini hivi... Hivi Unajua kwamba mikoa hiyo mitano Ina majimbo zaidi ya 40...!??
AJABU Kuna watu wanajaji kanda ya ziwa kwa kuangalia jimbo la Heche, kina Esther kumbe Kuna majimbo mengine 35 yako CCM
 
Hao akina ester unawahesabu? Washakatiwa shanga mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…