Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Kwani wewe unamzidi nini Kibajaji au Msukuma?

Tuanzie hapo?
 
Hakuna mtu aliyemhujumu Tundu Lissu. Tundu Lissu alifungiwa kama adhabu aliyopewa na Kamati ya Maadili inayoundwa na vyama vyote. Adhabu hiyo imetokana na kitendo cha Tundu Lissu kutoa kauli za uongo zinazolenga kuchafua amani ya nchi yetu. Tundu Lissu alipoitwa kutoa maelezo kwenye kikao cha kamati akakaidi kuhudhuria.

Ni upotoshaji kusema kuwa alifungiwa kwa hujuma.
 
Du wwgombea wameishiwa ,mashabiki nanyi.mnaongea pumba ...hivi Ni kweli CCM imefikia hapa!
 
Wewe naye takataka tu. Ester Matiku, Ester Bulaya, John Heche, Bukoba katoka Rwakatale.
Hao ndio akina nani bwashee?

Hahahaaaa...... Miye nawajua akina Lema, Mbowe, Mdee, Lijualikali, Silinde, Mwambe na Selasini.

Kuuliza siyo ujinga bwashee!
 
Tundu Lisu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya kusini?

Maendeleo hayana vyama!

Hujui kuwa ratiba za tume zinafuatwa na pia kuwa kusini mshirika kachero mbobezi kesha fanya ya kutosha?
 
Unakata viuno tu, Lisu ni Mnyaturu.
 
Kusini Hamna lenu,Kanda ya ziwa anarudi kumwaga Sera vizuri na kupiga spana sawa sawa.Awanu hii mtaimba nyimbo zote.
Afu ule wimbo wao wa sisiem mbele kwa mbele siusikii, au ndio hata na CD wamezitupa tayari wameona upepo unaelekea nyuma kwa nyuma....
 
Kamati ya maadili imejaa vyama vibaraka wa ccm.

Ndio maana tunasema kuna hujuma imefanyika.

Baadhi ya vyama ktk kamati ya maadili vilikuwa vinampiga vita TL hata akiwa hospitali anajiuguza.

Kamati ingeweza kutoa adhabu ya faini, karipio, etc, lakini uchaguzi huu kamati imekuwa ikiwasimamisha wagombea wa Cdm kufanya kampeni. Je, ni kweli kwamba wanaokosea ktk kampeni ni Cdm peke yao?
 
Jibu swali meku!
sehemu ya kuweka nguvu ni ile ngome ya mpinzani wako ,kama hamna mbunge huko ina maana haikuwa ngome ya chadema kwahiyo lazima arudi ,bila shaka umelewa vizuri zamu hii kama hujaelewa bado utakuwa unasumbuliwa na uzezeta
 
Chadema ina mbunge hata mmoja kanda ya ziwa?
Unamjua John Heche aliyekuwa mbunge wa Tarime Vijijini, au Ester Matiko aliyekuwa mbunge wa Tarime Mjini?? au Ester Bulaya aliyekuwa mbunge wa Bunda?? Unamjua Wilfred Rwakatale aliyekuwa mbunge wa Bukoba mjini? Wabunge wote hawa walikuwa wabunge wa chadema wakitoka Kanda ya ziwa.
 
sehemu ya kuweka nguvu ni ile ngome ya mpinzani wako ,kama hamna mbunge huko ina maana haikuwa ngome ya chadema kwahiyo lazima arudi ,bila shaka umelewa vizuri zamu hii kama hujaelewa bado utakuwa unasumbuliwa na uzezeta
Nimekuelewa meku lakini huku kusini tunamsubiri pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…