johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naskia kuna mtu huko hali tete,anadungwa sindano kabla ya kupanda jukwaani😀Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Uko tayari kubeba wazungu begani na Lissu wake kama enzi za ukoloni ?Meko kupiga magoti vipi..!!
Umefika darasa la ngapi au ndio wale wasomi wetu wanaosoma kwa kukaririLeo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?
Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Kuwabeba kivipi embu fafanua?Uko tayari kubeba wazungu begani na Lissu wake kama enzi za ukoloni ?
Umemwelewa amezunguzia hilo kwa kwa kulenga kitu gani na kwa muktadha upi?Leo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?
Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Anajitahidi sana kuto elimu kwako na ndugu zako makada wa ccm, Kama vile mkurugenzi wa NEC Asiye jitambua hadi kufikia hatua ya kujionyesha yeye ni kada mtiifu wa CCM.Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiwa kilaza huwezi kumuelewa Lissu. Lissu amesema atarudisha mfumo kama ulivyokuwa kipindi cha ukoloni kwamba wananchi ndo wanajiamulia miradi yao ya kuifanya iwe maji, barabara au elimu! Sio kama sasaivi kila mwananchi ni ombaomba kwa Raisi sijui Raisi tujengee shule, tujengee hospitali, tujengee soko.Leo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?
Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Yaani Leo katoa Pasi ya ovyo kabisa katika harakati zake za kujijenga kimaslahi. Sijui kama mnaona ninachokiona kwa Lissu. Au ndiyo mmeamua kuvaa miwani ya 'mabao'? Ebu vueni miwani hiyo!Umemwelewa amezunguzia hilo kwa kwa kulenga kitu gani na kwa muktadha upi?
Ni lazima Lissu atoe elimu kwa watanzania ili wajue taratibu na haki zao. Hili ni kwa sababu CCM mmekuwa mkiwanyanyasa wananchi kwa sababu hawajui sheria, taratibu na haki zaoNijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Ona aibu, Mkuu. Lissu anawadhalilisha sana. Situkeni!!!...mmejaa vilaza tu ndo mana hamuelewi hoja za Lissu mnaishia kupotosha tu.
Ni sawa maana kuna mambo yanapotoshwa yakinyamaziwa yanakuwa ukweli.Ila nashauri asiyape kipaumbele sana.atumie muda wake vizuri.Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Fichama Mkuu, taulo lako 'limevuka...!!'Umefika darasa la ngapi au ndio wale wasomi wetu wanaosoma kwa kukariri