Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Leo ndio nimeamini wewe ni hamnazo!Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.
Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.
Maendeleo hayana vyama!
Jamii yoyote ya kistaarabu ya binadamu ni lazima' na wajibu kufuata 'Sheria' na taratibu iliyojiwekea.
Nyie maccm mnataka wananchi wasizifahamu vizuri Sheria za nchi ili muendelee kuwaburuza kama mizoga?