Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

Kwa akili hizi mnatia kinyaa sana!Unaweza kukuta na wewe una familia!Tumieni akili basi,mnaishusha sana hadhi JF!
Tunawajua kwa lugha zenu. Siwezi kushangaa maandishi yenu haya. Mmekunywa na kujifunza tabia mbaya za Lissu za kudharau watanzania. Na dhambi hiyo haiwezi kuwaacha salama kwenye sanduku la kura ifikapo tarehe 28/10/2020. Mtashughulikiwa vilivyo na watanzania.
 
Ili tuelewe sheria na katiba inavyosema watz wengi hatujui uppooo hutaki kafeee
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Anaejaza wasanii kwenye mikutano kwani yeye hana ilani au wasanii watatusaidia nini kwani tunashida yakusikiliza muziki😂😂😂😂
 
Iwapo yeye kweli nguli wa sheria kama anavyojinasibu si ana makaratasi ya kuishi ulaya arudi huko apate kazi ata kwenye taasisi za kusimamia kesi za wakimbizi tu, achilia mbali law firms zinazo deal na mambo ya criminal criminal cases, business disputes, tort, etc where test are applied in court as proof huko awezi pewa kazi mia nane.

Mwanasheria anaetafsiri processes tu na legal interpretation as codified by law do you even need to study law to do that.

Akirudi ulaya ataishi kwa msaada wa benefits tu za serikali hana hiyo elimu ya ku practice law nje ya Tanzania.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!

Kwani wewe kinakuwasha nini
 
Yeye hataki kufanya kazi Ulaya sasa, kwanini umpangie? Anataka kuwa rais wa Tanzania na kura yangu atapata
 
Na si anapoteza time,orrezo wetu ni JPM.
 
Yeye hataki kufanya kazi Ulaya sasa, kwanini umpangie? Anataka kuwa rais wa Tanzania na kura yangu atapata
EADF4364-AA5B-48E6-A2E3-BA0108890F6B.jpeg

We unadhani atachomoka hapo, hiyo asubuhi asubuhi tu. Hakuna gaps hapo kama ilivyo kwenye mikutano ya Lissu.

Binafsi naomba mungu hizi campaign ziishe bila ya ‘stampede’ maana hiyo risk ipo juu ukiangalia watu wanajazana sana kwenye mikutano ya Magufuli.

Atafute kazi nyingine ya kufanya mapema kinachoendelea ni taratibu tu mshindi keshapatikana.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Na wewe umeanza kuchanganyikiwa? Hivi unajua msingi mkuu wa hayo unayoyasema?

Tundu Lisu yupo sahihi kwa 100%. Siku zote unapogombea uongozi kwanza uwe unakerwa au kuumizwa na tatizo fulani. Unagombea ili uende ukali[emoji892][emoji892][emoji526][emoji519][emoji1648]tatue hilo.

Tatizo kubwa kuliko yote kwa Tanzania kwa sasa ni uvunjifu wa katiba na sheria. Ndiyo maana kwenye mbiu ya Lisu kuna Uhuru,₩;*,*hwhwcn n me0 Haki na Maendeleo. Ni hovyo vyote vipo kwenye katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweweseka huyo nondo za Lissu zimeshaanza kumuingia barabara
 
Huna jipya kanyonye huko bado mtoto naona
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
 
Leo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?

Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Kama kwa akili hizi ndo umetafasiri kilichosemwa na Lissu bora umgewaachia watoto waangalie tamthilia.
 
Back
Top Bottom