Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nini wewe unatumia muda mwingi kupost ujinga humu?
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Unatofautiana na Mkurugezi Wa NEC name Polepole wao wanasema anatumia muda mwingi kutukana. Nani mkweli sasa.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Bila ya sheria katika nchi hakuna sera, sera kubwa inayohitajika katika Tanzania nikuwa na katiba mpya.
 
Baadhi ya Sera zake si hizi-:
1) Kupunguza riba ya Mikopo ya wanafunzi kutoka 15% mpaka 3%.
2)Bima ya Afya kwa kila mtanzania.
3)uendeshaji wa Serikali Kwa mfumo wa Majimbo.
4)Mchakato wa Katiba Mpya ndani ya Siku 100.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
katiba uku unaonewa hakuna kitu
 
Sera za Lissu;

1. Kuchunga mifugo kwenye hifadhi za taifa
2. Kuweka rehani migodi ya madini ili kupata hela za kufanya maendeleo
3. Kuruhusu ushoga
4. Kutohoji mikataba ya madini kwasababu wazungu watatushtaki
5. Kuachana na uenjenzi wa miundombinu sababu maendeleo ya vitu sio muhimu. (nadhani atagawa fedha ili kuleta maendeleo ya watu)
6. Nchi kuigawa katika majimbo ili kila sehemu ijiendeleze yenyewe kwa rasilimali zake.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Meko muda mrefu anatumia kujisifu na kupigia vitoto magoti uwanjani kuomba kura...yani hakuna laana mbaya kma kutoa uhai wa ben,azory,lwijabe etc.
Yani yupo kama zombie uso umemvimba
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu usishangae.Hilp nmi eneo lake la kujidai.
Sera tangaza wewe.
Ukisoma sera za Chadema wanasema wakipata ridhaa ya Watanzania watajengareli ya SGR.Sasa unategemea Lissu anaweza kutamka hadharani sera hiyo,wakati yeye anadanganya watu maendeleo ya watu bila vitu?
Sera ya chadema kwa mujibu wa ilani ni kujenga mabwawa ya umeme,barabara nk nk nk,Unategemea Lissu atamke hayo?Atawadanga serikali ya kikanda bila ufafanuzi wo wote juu ya faida au hasara.
 
Kutafsiri katiba na sheria ni shemu ya sera.

Taifa lililo na watu wasioijua katiba na sheria, na haki zao, ni nadra sana kuendelea.
 
Mkuu usishangae.Hilp nmi eneo lake la kujidai.
Sera tangaza wewe.
Ukisoma sera za Chadema wanasema wakipata ridhaa ya Watanzania watajengareli ya SGR.Sasa unategemea Lissu anaweza kutamka hadharani sera hiyo,wakati yeye anadanganya watu maendeleo ya watu bila vitu?
Sera ya chadema kwa mujibu wa ilani ni kujenga mabwawa ya umeme,barabara nk nk nk,Unategemea Lissu atamke hayo?Atawadanga serikali ya kikanda bila ufafanuzi wo wote juu ya faida au hasara.
haa!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Hapa umemwandikia Tundu au umetuandikia sisi...
Unatofauti gani na Tume sasa
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Hizo ni dalili za kuishiwa sera nothing else
 
Leo akiwa Mkoa wa Kilimanjaro, Lissu kaahidi kuhakikisha anairejesha Tanzania enzi za ukoloni. Nimemsikia na kumona akiongea hayo mwenyewe kupitia televisheni ya ITV, muda mchache uliopita. Hivi maisha ya ukoloni yalikuwa bora kuliko yale baada ya uhuru?

Yaani Lissu kwa uongo hajambo, anaongeza kuwa Wakati wa ukoloni mamlaka yalikuwa kwa wananchi! Mambo ya ajabu sana haya...! Na mwenyekiti wake wa Chama anaogopa 'kumfunga' Lissu kengele.
Huyo Lissu ni kituko tu, wakala wa beberu. Yeye na chama Mbowe, hawana maslahi mazuri ya taifa hili. Wao wapo tayari Amani itoweke kwa maslahi yao binafsi. Mwaka huu saccos lazima mkione cha motto.
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu majizi ya ccm yanatumia Sheria kuiba,au yakitaka kugandsmiza wengine,sasa hv unafikiri kwa nini hakuna mabango Mengi ya upinzani,Tra wametunga Sheria juzi mabango yanalipiwa,kwa ccm,wao pesa hata hazina wataiba tu.
 
Ww nae unakuwa Kama tahira Sasa Kuna Sera ambayo haina Sheria Wala mwongozo au utaratibu??
 
Nawewe kila siku sera hivi huyo Magufuli hiyo miradi ya SGR, ndege, flyover na bwawa la umeme ilikuweko kwenye ilani. Sasa kwanini unataka opoteze muda na ilani ambayo hata asipotekeleza hakuna wakumuuliza. Yeye anaongea yale yanayowagusa wananchi walio wengi maana ndio wanafanya maamuzi
 
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.

Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini.
Akatolea mfano wa yeye kuitwa na NEC kienyeji.

Tundu Lissu elewa kwamba watanzania hawahitaji darasa la sheria bali uwaeleze utawafanyia nini wakikuchagua.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu awamu hii ndiyo iliyoongoza kwa kuivunja katiba na sheria za nchi hii kuliko awamu yoyote ile...!!
 
Back
Top Bottom