zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.