Si unaandaa timu ya kufanya nayo kazi, coz hata katibu mkuu na naibu wake wanateuliwa na mwenyekiti na kuthibitishwa na wajumbe!!
Huko si kuandaa timu labda kama ni kuandaa machawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaandaa timu ya kufanya nayo kazi, coz hata katibu mkuu na naibu wake wanateuliwa na mwenyekiti na kuthibitishwa na wajumbe!!
Wenje anawapiga kura wengi sana Heche atachukua fomu ila atagalagazwa vibaya sana.Heche akisimama anammaliza wenje ila sielewi kwanini hachukui fomu. Ina maana Wenje apite bila kupingwa?
Anzisha chama chako Dogo!Chadema ni wahuni sana.
Tulichelewa sana kujua uhuni wa chadema.
Ilikuwa Ukimuona Mbowe anatoa mapovu unafikiri pana mtu kumbe kopo tu.
Wenje yupiWenje anawapiga kura wengi sana Heche atachukua fomu ila atagalagazwa vibaya sana.
Mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 5.01.2025, huenda wanalifanyia kazi .Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
..mchangieni Hela ya fomu, huenda Hana😂Basi hao akina Heche na Lema washawishiwe wachukue fomu. Wenje hafai kuwa makamu mwenyekiti wa chadema.
Atoe kwanza tamko la kusudio (expression of interest) ndipo atachangiwa...mchangieni Hela ya fomu, huenda Hana😂