zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni tundu au chama ndio kinasimamisha mgombea?Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
JokaKuu Tindo econonist ..Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
Na mwisho wa siku ndio itaibuka mshindi
If you fail to plan, you plan to fail...Na mwisho wa siku ndio itaibuka mshindi
Γkili kisoda.Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
that slogan works for failuresIf you fail to plan, you plan to fail...
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hajasimamisha mgombea umakamu mwenyekiti mbadala wake, baada ya yeye kujiengua, kwasababu aligundua mapema kabisa kwamba, hata yeye mwenyewe asingeweza kushinda umakamu mwenyekiti wa chadema Taifa kwa namna ambavyo mipango ilikua imepangika, sembuse mgombea mwingine?Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
the bad is comingkibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hajasimamisha mgombea umakamu mwenyekiti baada ya yeye kujiengua, kwasababu aligundua mapema kabisa kwamba, hata yeye mwenyewe asinge weza kushinda umakamu mwenyekiti, sembuse mgombea mwingine?
hiyo ndio haswa sababu ya msingi gentleman π
John Heche ndio analubuniwa na lissu na kina maria sarungi achukue fomu kupambana na wenje aka moto mkaliHeri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?
Kingine hawa kina Lema, Heche, Golugwa n.k wanahofia nini kuchukua fomu ya kugombea umakamu uenyekiti? Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?. This is a disgrace, kama Lissu hatolifanyia kazi hili la mgombea wa umakamu basi naona itakua mwiba wake.
Lisu mbinafsi sana yeye hupigania cheo chake tu
sure,the bad is coming
Inadaiwa dirisha la kuchukua na kurudisha fomu linafungwa tarehe 17 January, hivyo muda bado.Hivi kweli chadema ndio inaona Wenje apite bila kupingwa nafasi ya Umakamu mwenyekiti?
Naunga mkono hoja,hata akichaguliwa kuwa mwenyekiti itakuwa ngumu kufanya kazi na tapeli Wenje.Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya uchaguzi?