Kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa Makamu mwenyekiti?

Ni tundu au chama ndio kinasimamisha mgombea?
Yaani kwanini asingeshawishi mtu agombee umakamu ili akishinda awe na timu imara kuliko yeye ashinde alafu apewe makamu asiyefaa.
 

Kwani Kuna watu husimamisha wagombea?

Si kugombea ni suala binafsi?

Au kwenye form Kuna provision ya kuwa mgombea ni kwa hisani ya msimamizi gani?
 
Kwani Kuna watu husimamisha wagombea?

Si kugombea ni suala binafsi?

Au kwenye form Kuna provision ya kuwa mgombea ni kwa hisani ya msimamizi gani?
Si unaandaa timu ya kufanya nayo kazi, coz hata katibu mkuu na naibu wake wanateuliwa na mwenyekiti na kuthibitishwa na wajumbe!!
 
Hadi katibu mwenezi wa ccm amteulie!
 
Chadema halisi imejifia.
Usitegemee yeyote akisbinda ataweza kuinganisha chadema tena.

Kugombea kwa Lissu nahisi ni mkakati wa kuwafungua macho wajinga kuwa Mbowe sio mwenzetu ni mchwa na kiveugeu...mchana chadema usiku ccm.

Baada ya uchavuzi yatakuwa ni mazishi rasmi ya chadema.

Hili ni povo la mwisho...hakuna chama pale tena.
 
Umeongea Ukweli mchungu πŸ˜„
 
Umeongea Ukweli mchungu πŸ˜„
Kuna watu wanahisi ni kweli Lissu amedhamiria kushinda...sahau.

Ukweli ni kwamba Lissu amechoka majungu, ubadhirifu na wizi wa Mbowe.

Hapa anatufungua macho kwa vitendo.
Pia anatuthibishia kuwa chadema ni mali ya familia ya Mbowe na hana mpango wa kuachia nafadi.

TAtu ametuthibitishia kuwa yeyote anayekitaka kiti maana yake atapotezwa kama Wangwe...hivi hamkuelewa tu?
 
Kwanza anastahili afukuzwe kwa sababu ni kigeugeu.Kwanza alichukua fomu za Makamu M/kiti lakini hakuzirudisha ,mara kaibuka tena anagombea uenyekiti.Hana msimamo,anatuchanganya aondoke.
 
Basi hao akina Heche na Lema washawishiwe wachukue fomu. Wenje hafai kuwa makamu mwenyekiti wa chadema.
Kwani huyu Lema siyo Mchaga? Au mimi ndio siwaelewi hoja zenu za kila siku za uchaga?
 
Kwanza anastahili afukuzwe kwa sababu ni kigeugeu.Kwanza alichukua fomu za Makamu M/kiti lakini hakuzirudisha ,mara kaibuka tena anagombea uenyekiti.Hana msimamo,anatuchanganya aondoke.
Wacha uongo,form hakuchukua bali alitangaza nia tu na kubadili mawazo ni haki yake pia,mbona Sultan Mbowe alitangaza 2019 kuwa hatagombea tena lakini kachukua na kurudisha form? Na mbona 2015 aliyeandaliwa na Chadema kugombea Urais alikuwa Dr. Slaa lakini Mbowe akabadili gia angani?No research no right to speak.
 
2015 waliyonufaika ni Chadema, labda kama mna chuki binafsi na Mbowe.

Momentum of Lowasa ndio iliwapa mpaka wahuni Ubunge na Udiwani.
 
2015 waliyonufaika ni Chadema, labda kama mna chuki binafsi na Mbowe.

Momentum of Lowasa ndio iliwapa mpaka wahuni Ubunge na Udiwani.
Hujaelewa andiko langu,nilikuwa namjibu huyo aliyesema Lissu ni kigeugeu kwa kubadili mawazo kugombea uenyekiti tofauti na tangazo lake la awali kugombea makamu mwenyekiti.
 
Ni hivi, survival ya Chadema itatokana na ushindi wa Lisu. Hawa kina Wenye ni takataka wa Mbowe kwenye kuifukia Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…