Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

Uvccm mnawayawaya
 
Haikuhusu wewe mkata viuno
 
Mkeo mwenyewe anaenda saluni hakuagi na anakazwa mbuye huko,sasa unataka Lisu akuage wa kazi gani
 
Hakuna unachokijua mkuu. Ungejua ungefuta ulichoandika.
Credit: Mega Mind Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpango siku anaondoka alikuaga? chama chake wamelalamika hajawaaga? au mnataka tena kumpiga risasi? Tulia amesafiri mara ngapi nje ya nchi mbona hatujaona akiaga?
 
Rais wako alipoenda Kenya kimya kimya alienda kutoa taarifa kwa watwana gani?
 
Mpaka Odinga katoa siri ndiyo wananchi mnakuja kujua kuwa kumbe rais wenu aliondoka nchini bila kuaga na bado Ruto akagoma kuonana naye.
kwahiyo alienda kuripoti au kupeleka ripoti kwa odinga right?😂
 
Kwa vile wewe ni mwanachama mwenzake, labda unajua zaidi. Lakini sidhani kama huwa anaondoka kimya kimya tu. Kama ameondoka kimya kimya, umejuaje kaondoka? Labda yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…