Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Uvccm mnawayawayaHili nimeliwaza sana, na kuvuruga akili kidogo, wakati waTanzania wanapoifikiria CHADEMA kuwa chama kinachoweza kuwaondoa madarakani CCM.
Huu siyo mchezo lelemama, kama CHADEMA hawapo tayari kwa kazi hiyo, basi wasiwape waTanzania matumaini wasiyokuwa na uwezo nayo.
This is serious stuff,...CHADEMA acheni mchezo.
Inaumiza sana roho.