Uchaguzi 2020 Kwanini Tusimchague John Pombe Magufuli !? Una sababu embu tuwekee hapa!

Nitamchagua Magufuli sababu napenda maendeleo.

Tuipigie kura CCM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
1/. Utekaji
2/. Mauaji
3/. Ubambikaji kesi zisizo na dhamana kwa raia wema wasio na hatia
4/. Ukabila.. hata mikutanoni anahutubia kikwao
5/. Ubaguzi kwa misingi ya kiitikadi
6/. Upendeleo
7/. Kutopandisha mishahara kwa miaka 5
8/. Kuacha kuajiri
9/. Kuua biashara
 
Anamtumia Musiba kutukana watu...

Ameunda kikundi Cha watu wasiojulikana wanaua, wanateka, wanajeruhi, wanatishia uhai, n.k

Hana lugha nzuri, ni jeuri, ana kiburi, n.k

Ni mshamba, limbukeni, mzandiki,.n.k
 
Hata hilo neno 'mheshimiwa' halikupaswa kutumika kwake.
 
Sisi Watanzania tutamchagua Rais Magufuli Kwasababu ni Mzalendo sio km yule anayetaka kuuza raslimali zetu
Inaelekea hata darasani ulikuwa unashika mkia, uneshindwa kuielewa mada hii! Wewe si bure.
 
Wenzangu wameshaelezea mengi tu, mmojawapo ni huyo:Lord dening ameniwakilisha ingawa akutaja kifo cha Alfonsi mawazo! Atutaichagua CCM pamoja na kupandisha gharama za maisha na kuongeza utitiri wa kodi! Si hayo tu, kwa msiejua kwenye utawala huu maelefu ya raia wameuwawa kikatili kwenye hifadhi ya Rubondo na imekuwa siri!
 
Bado wewe.
 
Ametoa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa faidi zao binafsi bila kujari hali halisi za watanzania
 
Kitendo cha kutaka kumuua lisu na kununua wapinzani haya ni madoa yasiyofutika kwenye mioyo ya wengi damu ya ben sanane ipo mikononi mwake pia kura za maelfu kwa maelfu wanatumia sababu hizi za haki kumkataa 28/10 jiwe hapiti hata iweje na mkitumia dola mtaleta fujo.
Viva Magufuli Mzalendo wa ukweli, kataa mapandikizi ya Mabeberu kutoka ubeligiji
 
Viva Magufuli Mzalendo wa ukweli, kataa mapandikizi ya Mabeberu kutoka ubeligiji
Mabeberu aka WATU WA MAREKANI AISEEE NDO HAO WANALETA DAWA,WANAJENGA RELI KWA PESA ZA MABEBERU,BILA MABEBERU HAMKAI HATA SIKU MBILI MNADONDOKA KAMA KUKU
 
Hizo nyimbo za uwongo kuisingizia serkali zimepitwa na wakati

Serkali imuue lissu anakipi cha maana ? Serkali haiui raia wake

Nyie chadema jichunguzeni inaweza kuwa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe
 
Tanzania tunajenga reli kwa pesa zetu

Kama dawa tunanunua hatuchukui bure
Mabeberu aka WATU WA MAREKANI AISEEE NDO HAO WANALETA DAWA,WANAJENGA RELI KWA PESA ZA MABEBERU,BILA MABEBERU HAMKAI HATA SIKU MBILI MNADONDOKA KAMA KUKU
 
Labda niwe kichaa kabisa ndio atapata kura yangu
 
Imekula kwake. Kiburi kwa kutukana wengine vilaza hili liliniuma sana. Ati kwa sababu kasoma chemistry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…