Jingine litalako wakosesha kura CCM ni hili la uraia ,kudai uraia wa mtu baada ya kulumbana na Serikali iliyopo madarakani,kama ni historia basi Magufuli inasemwa ni Mhutu,unajua Tanzania nzima zama za zama ilikuwa pori la wanyama wakali yaani mbuga za wanyama ni historia refu inataka muda na karatasi nyingi kuisimulia,ila binadamu walikuwepo mbali sana na bahari na hii mipaka tunayoijua ya sasa tuijuayo.Watu walianza maeneo ya Zaire ya Congo huko mbaali sana.
Hili ni eneo watanzania walio wengi wataiangusha CCM ili kuliepuka maana kama unajirani yako yamemkuta basi na wewe ipo siku litakuandama linaweza kumkuta hata Magufuli na mawaziri wake,ni jambo baya sana,wanalolifanya serikali ya CCM,WaZanzibari wanasema mambo kangaja huenda na kurudi wakikusudia msimu wa kitu unakwenda na kurudi.
Tuchukulie Magufuli ameweza kuwafurusha wala rushwa anaowaita yaani ametumbua watu wengi baadhi ya viongozi wasio na timu ndani ya chama wamekwenda na kutumbuliwa huku ,sasa,sasa Magu anaondoka inawezekana kabisa akatokea kiongozi Raisi nae akambana Magu na kutaka aelezwe hela alizotumia kwenye kampeni,kujenga uwanja,kujenga reli kununua ndege alizotoa wapi na mfano wa mambo kama hayo na mwisho aseme Magu alifanya hivyo kwa sababu sio Mtanzania na hana uchungu na hela za waTanzania.
Ubaguzi umeshawakosesha kura CCM,watanzania walio wengi wameliona hili na inafaa wazidi kukumbushwa hata kama wapo ccm hawapo huru kwa dude hili la kibaguzi.