Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Duh kweli magu hapendwi, nami simpendi dikteta huyu mbaguzi na mkabila mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kweli magu hapendwi, nami simpendi dikteta huyu mbaguzi na mkabila mkubwa.
Japo naunga mkono hoja ila sio kwa point hii ya masheikh.Kura za kuwakomboa mashehe ni kombora kubwa sana litakalowasambaratisha CCM ,kama makombora haya yakirushwa Tanga,Zanzibar Dar,Mtwara Kigoma Mwanza yaani Tanzania nzima likitumika kombora hili kwa usahihi,wananchi kueleimishwa vilivyo bila ya kujali dini zao.mbona CCM watasikilizia matangazo ya ushindi kutoka vyumbani mwao na presha juu juu.
Wewe haya ni mabeberu kutoka MAREKANI...Viva Magufuli Mzalendo wa ukweli, kataa mapandikizi ya Mabeberu kutoka ubeligiji
Wewe haya ni mabeberu kutoka MAREKANI...View attachment 1588888
1. Ni mkatili, mbaguzi, muuaji na mwenye roho ya chuki na kisasi kikubwa
Mf. Alivyowafanyia Ben Saanane, Tundu Lissu, Erick Kabendera na Mama yake, Msanii Idriss na wengineo wengi
2. Ameharibu uchumi kwa maamuzi yake ya kijinga
Mf. Kuingilia soko la korosho kulikopelekea biashara ya zao hili kufa
mf2. Anesababisha kupanda vibaya kwa bei ya sukari kutoka 1800 mpaka 2800/3000 kutokana na maamuzi yake ya hovyo ya kuzuia uagizwaji wa sukari kwa chuki zake dhidi ya wafanyabiashara
3. Ameharibu uchumi. Watu wengi wamefunga biashara kwa manyanyaso ya TRA na wengi wamepoteza kazi kutokana na makampuni yao kufunga biashara Tanzania
Mf. Rhino cement na mengineyo mengi bila kusahau Kampuni na maduka ya kubadirisha fedha
4. Amesababisha umasikini mkubwa kwa wakulima wa mananasi na mazao mengine kutokana na kuharibu mahusiano ya kimataifa mf na kenya ambapo wafanyabiashara na kampuni za kule ndo zilikuwa zinakuja Tanzania kununua mazao mengi
5. Ni muonevu na mpendeleaji mkubwa. Alifukuza kazi maelfu ya watumishi kwa vyeti feki huku akiwaacha kabudi na Makonda ambao hawakuwa na vyeti
Hawa washehe walifanyaje ?? Kila siku nasikia mashehe mashehe!Japo naunga mkono hoja ila sio kwa point hii ya masheikh.
Hii ni hoja ya kipumbavuu kabisaa.
Suala la msingi hapa linapaswa kuwa ukiukwaji wa sheria na utekelezaji wake ndio upigiwe kelele.
Hii ndio tatizo linalowaweka wengi ndani zaid ya hiyo miaka 7 ya hao masheikh.Kuna watu wako behind bars kwa miaka 15+ na hawaja hukumiwa kama hao mnaowatetea AU KWAKUA WENGI HAWAFAHAMIKI and they are BO BODY kwenye nchi hii..???
HOJA hii ISIYO NA UZITO wa kutosha itawa pump wa zanzibar pekee na wala sio Tanzania nzima.Hivyo haina mashiko kuongeza kura.
Alioyaongea mpaka sasa ni mengi na ya msingi yanayomgusa kila mtanzania.AKANYAGIE HAPO HAPO.
Mkoa wa manyara soko la mbaazi limekufa kisa kutumia madaraka vibaya kumweka ndani mnunuzi mkubwa wa zao hili Yusuf manji1. Ni mkatili, mbaguzi, muuaji na mwenye roho ya chuki na kisasi kikubwa
Mf. Alivyowafanyia Ben Saanane, Tundu Lissu, Erick Kabendera na Mama yake, Msanii Idriss na wengineo wengi
2. Ameharibu uchumi kwa maamuzi yake ya kijinga
Mf. Kuingilia soko la korosho kulikopelekea biashara ya zao hili kufa
mf2. Anesababisha kupanda vibaya kwa bei ya sukari kutoka 1800 mpaka 2800/3000 kutokana na maamuzi yake ya hovyo ya kuzuia uagizwaji wa sukari kwa chuki zake dhidi ya wafanyabiashara
3. Ameharibu uchumi. Watu wengi wamefunga biashara kwa manyanyaso ya TRA na wengi wamepoteza kazi kutokana na makampuni yao kufunga biashara Tanzania
Mf. Rhino cement na mengineyo mengi bila kusahau Kampuni na maduka ya kubadirisha fedha
4. Amesababisha umasikini mkubwa kwa wakulima wa mananasi na mazao mengine kutokana na kuharibu mahusiano ya kimataifa mf na kenya ambapo wafanyabiashara na kampuni za kule ndo zilikuwa zinakuja Tanzania kununua mazao mengi
5. Ni muonevu na mpendeleaji mkubwa. Alifukuza kazi maelfu ya watumishi kwa vyeti feki huku akiwaacha kabudi na Makonda ambao hawakuwa na vyeti
Jamaa wa kikundi flan cha kuitwa UAMSHO.Kulikua na vugu vugu zanzibar la kuchoma nyumba za ibada za wakristo miaka flan na hawa jamaa walikamatwa kwa tuhuma za kuwa wao ndio walikua wanaratibu zoezi lile haramu.Hawa washehe walifanyaje ?? Kila siku nasikia mashehe mashehe!
Elewa hojaSisi Watanzania tutamchagua Rais Magufuli Kwasababu ni Mzalendo sio km yule anayetaka kuuza raslimali zetu
Elewa hoja
AlkoholiViva Magufuli Mzalendo wa ukweli, kataa mapandikizi ya Mabeberu kutoka ubeligiji
Utafiti mpya huu hapa soma vizuri mambo yamebadilika:
Dah!!!aisee hii inasikitisha mzee.duh polen sana.Mkoa wa manyara soko la mbaazi limekufa kisa kutumia madaraka vibaya kumweka ndani mnunuzi mkubwa wa zao hili Yusuf manji
Akili ndogoMimi km Mtanzania Mzalendo nitamchagua Rais Magufuli
Hilo sio tatizo ,mwananmme hilo ni lazima uwe nalo kama huna,utakuwa una matatizo,labda tuseme yeye anashindwa kujizuia ni mambo ya kuku na majogoo yakifunguliwa asubuhi inabidi uwambie watoto hawa wanafanya mazoezi na kupimana uzito,Tuseme ni tatizo mbele ya hadhara ya watu,jamaa hana uvumilivu kwenye point hio ana mikasa kibao ikizungungumzwa mitandaoni.Ana waza ngono kila mda
SUBIRI KIDOGO
Hizo ni propaganda tu. Kama leo tukipima mzarendo kati ya magufuri na lissu basi lissu ni namba 1. Fuatilia histoliaSisi Watanzania tutamchagua Rais Magufuli Kwasababu ni Mzalendo sio km yule anayetaka kuuza raslimali zetu