Uchaguzi 2020 Kwanini Tusimchague John Pombe Magufuli !? Una sababu embu tuwekee hapa!

Japo naunga mkono hoja ila sio kwa point hii ya masheikh.
Hii ni hoja ya kipumbavuu kabisaa.
Suala la msingi hapa linapaswa kuwa ukiukwaji wa sheria na utekelezaji wake ndio upigiwe kelele.
Hii ndio tatizo linalowaweka wengi ndani zaid ya hiyo miaka 7 ya hao masheikh.Kuna watu wako behind bars kwa miaka 15+ na hawaja hukumiwa kama hao mnaowatetea AU KWAKUA WENGI HAWAFAHAMIKI and they are BO BODY kwenye nchi hii..???

HOJA hii ISIYO NA UZITO wa kutosha itawa pump wa zanzibar pekee na wala sio Tanzania nzima.Hivyo haina mashiko kuongeza kura.
Alioyaongea mpaka sasa ni mengi na ya msingi yanayomgusa kila mtanzania.AKANYAGIE HAPO HAPO.
 

Mwezi wa tano hadi wa saba ni kipindi sisi walima njegere tunapata wateja wa kununua njegere yetu kwa jumla na kwa bei nzuri.... lakini huyu mpuuzi kaharibu kila kitu sasa tumekomaa na soko rahisis la kigogo... kwa kweli nna hasira nae sana kwenye kapu la kura ntamuonesha.
 
Hawa washehe walifanyaje ?? Kila siku nasikia mashehe mashehe!
 
Mkoa wa manyara soko la mbaazi limekufa kisa kutumia madaraka vibaya kumweka ndani mnunuzi mkubwa wa zao hili Yusuf manji
 
Kauwa secta binafsi mfano kandarasi nyingi hazina kazi. Kazi anagawa TBA naJKT
 
Hawa washehe walifanyaje ?? Kila siku nasikia mashehe mashehe!
Jamaa wa kikundi flan cha kuitwa UAMSHO.Kulikua na vugu vugu zanzibar la kuchoma nyumba za ibada za wakristo miaka flan na hawa jamaa walikamatwa kwa tuhuma za kuwa wao ndio walikua wanaratibu zoezi lile haramu.
 
Ana waza ngono kila mda

SUBIRI KIDOGO
Hilo sio tatizo ,mwananmme hilo ni lazima uwe nalo kama huna,utakuwa una matatizo,labda tuseme yeye anashindwa kujizuia ni mambo ya kuku na majogoo yakifunguliwa asubuhi inabidi uwambie watoto hawa wanafanya mazoezi na kupimana uzito,Tuseme ni tatizo mbele ya hadhara ya watu,jamaa hana uvumilivu kwenye point hio ana mikasa kibao ikizungungumzwa mitandaoni.
tatizo la kuonja ukubwani hilo hana mipangilio ya kijitu uzima akili imeshazeeka na tunawajua wazee wanapenda masihara hawajali yupo nani,ila yeye ni kiongozi mkuu wa nchi inabidi mengine ayavumilie mbele za watu,atumie wajumbe kuliko kutamka mambo ya uroda hazarani,ni uzee tu.
 
Sisi Watanzania tutamchagua Rais Magufuli Kwasababu ni Mzalendo sio km yule anayetaka kuuza raslimali zetu
Hizo ni propaganda tu. Kama leo tukipima mzarendo kati ya magufuri na lissu basi lissu ni namba 1. Fuatilia histolia

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mafindisho ya dini yangu (Mkatoliki) yanaweza kabisa kuchangia nishawishi hata mke wangu asimchague kwa niaba yangu
 
Vitendo vya kutunga sheria kandamizi, ubaguzi wa kisiasa na kikanda,utekaji, mauaji ya wakosoaji, kubambika kesi wapinzani wake, kutoongeza mishahara, Mazao ya kahawa, pamba, Mbaazi, Korosho kufa bei hizi ni sababu tosha kabisa kumnyima kura.
Watz huu ni wakati wa kumuondoa huyu mkoloni mweusi katili asiye na huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…