Uchaguzi 2020 Kwanini Tusimchague John Pombe Magufuli !? Una sababu embu tuwekee hapa!

Jamaa wa kikundi flan cha kuitwa UAMSHO.Kulikua na vugu vugu zanzibar la kuchoma nyumba za ibada za wakristo miaka flan na hawa jamaa walikamatwa kwa tuhuma za kuwa wao ndio walikua wanaratibu zoezi lile haramu.
Ok, duu!!

Sasa si wengine wanasema wamefungwa wapo Mbeya, dar na wao kosa Ni hilo hilo?
 
Mshahara wa leo 2020 ndio aliouacha Kikwete 2015
 
Je, uchomaji moto makanisa ulikuwepo au ni taarifa hewa?

Na je, hao Uamsho ndo walikuwa waratibu wa uchomaji?
 
Mi nilikua tajiri sasa hivi naishi kama msukule,
Jirani yangu analimia meno
 
Hata ajenge nini kana uhuru wa mioyo yetu haupo ni kazi bure.amani kwanza hayo mambo ya mandege hayatuhusu
 
Hivi Yusuf Manji yuko wapi. Nakumbuka lila wikiendi nilikua nakatiza pale Quality centre Mall unakuta full shangwe
benki kama zote ndani,
Wanangu wanacheza juu pale kwa buku 2,
Nakaa chini pele kwenye escalator wanaonja ice cream za Gellato,
Nawazungusha pale supermarket nawaambia hii ndio kama Marekani yenu,
Nikitoka hapo naenda juu Century Cinemax nakaa 1 hour kwenye movie, bila kusahau pop corn.
Nikitoka napita duka la simu chini nawadanganya watoto nitanunua next week simu yangu hawajaleta leo.
Kwa kweli mzunguko wa pesa ulikua mzuri, siku hizi pamekua gofu sijui nini kimetokea
 
Meko akiwa zanzibar anawaambia wazanzibar kuwa wasiondoke maana akimaliza hotuba bado Kuna show na watamuona akicheza
 
1.Kitendo cha Magufuli kama Rais kukiuka katiba kwa kutoa matamshi ya kibaguzi ya kutopeleka maendeleo kwa wananchi wasioipenda CCM huku akijua nchi yetu ni ya mfumo wa vyama vingi unaotambulika kikatiba, Nampiga chini.
 
Ahsanteni tafiti zinaonyesha CCM imepoteza kura nyingi sana,

Hakuna mlala hoi atakaeichagua CCM

Hakuna Mmachinga atakaeichagua CCM

Hakuna wanafunzi watakaoichagua CCM maana ahadi iliyopo na upande wa pili ni kufutiwa madeni yote na kuwa huru na ulipaji hatolipa anawazimu kiasi gani aipeleke kura CCM so,yeye na wazazi wake kura kwa Lisu.

Wafanyakazi wengi watazipeleka kura zao kwa Lisu kuna ahadi za kulipwa mafao yao cash money,wana wazimu kiasi gani waipe kura CCM

Polisi wengi wanazipeleka kura zao na kumchagua Tundu lisu awe raisi wao,Lisu ameonyesha dalili za wazi kuwajali kwa kuogeza mishahara na pensheni isyo na mazonge.

Kwa ujumla wafanyakazi wengi wa vyombo vya dola kura zao wanazipeleka kumchagua Tundu lisu awe raisi wao,sababu kubwa ni kuwa huru katika utekelezaji wa kazi zao za kila siku,kuondokana na tesion isiyo ya lazima.

Na kama haitoshi wale wote wenye kuchukia mambo yaliyopita ya kuwafukuza wafanyakazi kwa visingizio vya wafanyakazi hewa kundi hili lipo na kura zao Kwa Tundu lisu CCM hapa hana kura hata moja.

Kura kutoka wananchi wa uraiani hapa ni kundi kubwa la wanaccm wavaa sare wanaohudhuria tamasha, kupelekewa mgombea wasiemteua wala hakushinda katika uchaguzi wa awali,kundi hili ndilo ambalo linaizamisha kabisa CCM.

Kura za CCM kama huzijui ni asilimia 25 tu haizidi hapo na hawa ni wafanyakazi wa ofisi za CCM na wabeba mafaili ya viongozi na jamaa zao wa karibu sana wanaofaidika na wao kuwepo karibu na kina chakubanga na bashiri.
 
Mtakufa kwa ujinga wenu na huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
Watanzania wazalendo tuliotayari kufa kwaajili ya Taifa letu tutampigia kura Tundu Lissu!
 
Kutowatendea haki masheikh wa uamsho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…