SawaaaSheria zipo na sio wote wanatimiza , Mimi mwenyewe niliwahi kuacha madrasa nipo darasa la 3 baada ya kupigwa kama mbuzi kwa kusingiziwa sijawahi kurudi kusoma madrasa mpaka Leo nilivyokuwa mkubwa ndio nikaanza kusoma mwenyewe vitabu na kwa walimu privately
Masikini wa chini kabisa anapewa wanawake wawili bikira peponiMy people,
Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote
Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa ni mwendelezo na ukamilisho wa ujumbe wa mbinguni uliokusudiwa kuongoza ulimwengu mzima.
1. Ujumbe Wake ni wa Kijumla
Uislamu haukubagua watu kwa misingi ya nasaba au jiografia. Qur’ani inawahutubia wanadamu wote, si Waarabu pekee wala kizazi fulani. Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama Mtume wa watu wote, jambo linalothibitisha kuwa Uislamu haukufungwa na mipaka ya taifa au bara. Huu ni ujumbe unaovuka lugha na tamaduni.
2. Unalingana na Fitra ya Mwanadamu
Uislamu unaendana na maumbile ya asili ya binadamu. Unatambua mahitaji ya kiroho, kimaadili na kimwili kwa uwiano. Unafundisha kumuabudu Mungu Mmoja, kufanya mema, kuepuka madhara, na kuishi kwa haki. Mafundisho haya hayapitwi na wakati, kwa sababu yanagusa kiini cha utu wa mwanadamu.
3. Kanuni Zake ni za Haki na Usawa
Uislamu unasimamia haki bila upendeleo. Watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu; kilicho bora ni uchamungu na matendo mema, si rangi, mali au cheo. Kanuni hii imeifanya dini hii kupokelewa na watu wa mataifa mbalimbali, kwani inabomoa tabaka na kujenga heshima ya kibinadamu.
4. Uislamu Unajumuisha Maisha Yote
Tofauti na mifumo inayogusa ibada pekee, Uislamu unatoa mwongozo wa maisha kwa ujumla: ibada, familia, uchumi, siasa, haki za binadamu, na mahusiano ya kijamii. Hii inaufanya Uislamu uwe dini kamili inayoweza kuongoza jamii katika zama zote, iwe ni nyakati za kale au za kisasa.
5. Qur’ani ni Kitabu cha Milele
Qur’ani Tukufu imehifadhiwa bila kubadilishwa, na ujumbe wake bado ni hai na unaeleweka katika kila kizazi. Inahimiza elimu, tafakuri, na matumizi ya akili. Maudhui yake yanagusa masuala ya maisha ambayo bado ni changamoto kwa binadamu wa leo, jambo linaloifanya iwe rejea ya kudumu kwa wanadamu wote.
6. Mtume Muhammad ﷺ ni Rehema kwa Wote
Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama rehema kwa walimwengu wote. Maisha yake yanaonesha mfano wa huruma, subira, uadilifu na uvumilivu. Alizungumza na watu wa tabaka zote na aliishi kama kielelezo cha maadili ya Uislamu kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Hitimisho
Uislamu unaaminiwa kuwa ni dini ya ulimwengu wote kwa sababu ujumbe wake ni wa kijumla, unaendana na fitra ya mwanadamu, unasimamia haki na usawa, na unatoa mwongozo kamili wa maisha. Ni dini inayounganisha wanadamu chini ya maadili ya kumtambua Mungu Mmoja, kupendana, na kuishi kwa amani. Katika ulimwengu uliojaa migawanyiko, Uislamu unajitokeza kama mwaliko wa umoja na uongofu kwa wote.
Ni hayo tu!
katika soma soma yako ya maandiko umeshawahi kukutana na nabii au mtume mwenye jinsia ya kike?Hii iwe hoja ya pili.
Ya kwanza Biblia haijasema tuwapige wanawake Quran imesema.
Ya pili kukaa Kimya iko kote kote kwenye Biblia na Quran.
Na kwa vipind ving huko nyuma wanawake wamepewa nafas za kuongea katika madhabahu ya dini ya Kikristo.
Waislam je? Mmewapa huo usawa Wanawake?.
Wanawake wana nafas gan katika kuhubiri dini ya Kiislamu?.
Mudi huyu huyu aliyekuwa anabaka watoto wa miaka 9?My people,
Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote
Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa ni mwendelezo na ukamilisho wa ujumbe wa mbinguni uliokusudiwa kuongoza ulimwengu mzima.
1. Ujumbe Wake ni wa Kijumla
Uislamu haukubagua watu kwa misingi ya nasaba au jiografia. Qur’ani inawahutubia wanadamu wote, si Waarabu pekee wala kizazi fulani. Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama Mtume wa watu wote, jambo linalothibitisha kuwa Uislamu haukufungwa na mipaka ya taifa au bara. Huu ni ujumbe unaovuka lugha na tamaduni.
2. Unalingana na Fitra ya Mwanadamu
Uislamu unaendana na maumbile ya asili ya binadamu. Unatambua mahitaji ya kiroho, kimaadili na kimwili kwa uwiano. Unafundisha kumuabudu Mungu Mmoja, kufanya mema, kuepuka madhara, na kuishi kwa haki. Mafundisho haya hayapitwi na wakati, kwa sababu yanagusa kiini cha utu wa mwanadamu.
3. Kanuni Zake ni za Haki na Usawa
Uislamu unasimamia haki bila upendeleo. Watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu; kilicho bora ni uchamungu na matendo mema, si rangi, mali au cheo. Kanuni hii imeifanya dini hii kupokelewa na watu wa mataifa mbalimbali, kwani inabomoa tabaka na kujenga heshima ya kibinadamu.
4. Uislamu Unajumuisha Maisha Yote
Tofauti na mifumo inayogusa ibada pekee, Uislamu unatoa mwongozo wa maisha kwa ujumla: ibada, familia, uchumi, siasa, haki za binadamu, na mahusiano ya kijamii. Hii inaufanya Uislamu uwe dini kamili inayoweza kuongoza jamii katika zama zote, iwe ni nyakati za kale au za kisasa.
5. Qur’ani ni Kitabu cha Milele
Qur’ani Tukufu imehifadhiwa bila kubadilishwa, na ujumbe wake bado ni hai na unaeleweka katika kila kizazi. Inahimiza elimu, tafakuri, na matumizi ya akili. Maudhui yake yanagusa masuala ya maisha ambayo bado ni changamoto kwa binadamu wa leo, jambo linaloifanya iwe rejea ya kudumu kwa wanadamu wote.
6. Mtume Muhammad ﷺ ni Rehema kwa Wote
Mtume Muhammad ﷺ alitumwa kama rehema kwa walimwengu wote. Maisha yake yanaonesha mfano wa huruma, subira, uadilifu na uvumilivu. Alizungumza na watu wa tabaka zote na aliishi kama kielelezo cha maadili ya Uislamu kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Hitimisho
Uislamu unaaminiwa kuwa ni dini ya ulimwengu wote kwa sababu ujumbe wake ni wa kijumla, unaendana na fitra ya mwanadamu, unasimamia haki na usawa, na unatoa mwongozo kamili wa maisha. Ni dini inayounganisha wanadamu chini ya maadili ya kumtambua Mungu Mmoja, kupendana, na kuishi kwa amani. Katika ulimwengu uliojaa migawanyiko, Uislamu unajitokeza kama mwaliko wa umoja na uongofu kwa wote.
Ni hayo tu!
katika soma soma yako ya maandiko umeshawahi kukutana na nabii au mtume mwenye jinsia ya kike?
kama hiyo risiti unayo pliz nitag
sisi hatutoacha kuwaelimisha hata kama mnakuja hapa kuleta kebehiMm nashukuru tu mmewaelewesha watu weng ambao walikuwa Hawajui kuwa peponi kuna kuzagamuana.
Sawa 😎😎😎😎 niache kuangalia ngono pekeyake.
Watu wanatakiwa wajue pia kuwa kuna mito ya mvinjo.
Yaan unakunywa unalewa na unaenda kutomba kwa ruhusa ya Allah.
ulitaka peponi tukawe mashoga?
moja ya hekima kubwa sana ya dini hii kuonyesha kwamba ni dini ya ulimwengu wote ni kutumika kwa lugha ya asili ya kiarabu ambapo kitabu kitukufu kimeshuka na lugha hiyoMa mae dini kwenye ibada inawataka races zote wa swali ki arababu
Si utapeli huo🤣🤣
Et qu ran imeshushwa *****?
Ulikuepo? Thibitisha
Hili ni tatizo ambalo waalimu wanarithishana kimakosa sana,unakuta yeye alipigwa na sasa yeye anapigaUongooo, mbona huko madrasa watoto wananyukwa balaa, kisa kushindwa kusoma juzuu??
HaswaaaHili ni tatizo ambalo waalimu wanarithishana kimakosa sana,unakuta yeye alipigwa na sasa yeye anapiga
kiukweli kabisa kama kuna sehemu tunafeli kama waislamu ni kutumia kipigo tena saa nyingine kilichovuka mipaka,kiukweli kabisa hapa tunafeli
Waalimu inabidi walimu wa madrassa wapate semina namna nzuri ya kufundisha wanafunzi
asante.
Wewe ni mpumbavumoja ya hekima kubwa sana ya dini hii kuonyesha kwamba ni dini ya ulimwengu wote ni kutumika kwa lugha ya asili ya kiarabu ambapo kitabu kitukufu kimeshuka na lugha hiyo
Leo hii muislamu yoyote duniani akingia msikiti wowote anaswali kama kawaida,hatatatizwa na lugha wakati wa kutekeleza ibada yake
ila wewe mgalatia huwezi kwenda popote pale na kufanya ibada kwakuwa lugha ya ibada yako ni tofauti na wengine,huyo Yesu anajulikana kwa majina kibao,huenda akatajwa hapa na usiju
lakini look at islam,ukisema Allah popote pale duniani unajua huyu ni Mwenyezi Mungu, ukitaja Mtume Muhammad dunia yote inamjua ni mmoja tu
hii ndio dini ya ulimwengu wote
Uwe unasoma na kuelewa acha kukurupuka, nimesema kiarabu lugha ya asili ya qur'anWewe ni mpumbavu
Aliyekuambia kiarabu ni lugha ya asili ni nani?
Thibitisha kama ni lugha ya asili?
Thibitisha kuwa kitabu kilishuka?
Ulikuepo? Hamna logic kbsaa🤣
Hata mimi naweza naandika kitabu kilishuka, tunaaminije?
Ibada in kiarabu? Unawazimu wewe?
Huu utapeli☝️
Hakuna lugha inayojulikana kwa uhakika kuwa ndiyo ya kwanza kabisa duniani.
Sababu ni hii 👇
Lugha zilianza kabla ya maandishi, na sauti za watu wa zamani hazikuandikwa ili zibaki kama ushahidi.
Kuliko kuabudu kiumbe ambaye alikamatwa alfajiri vichakani na kijana mdogo wa kiume akiwa uchi huku chupi kaiweka begani??🤣🤣🤣
Unajua kuna muda huwa nashangaa sana ni namna gani mwanadamu anaweza kuwa manipulated na mwanadamu mwenzake tena pedophile na akamfanya amuabudu na kumpa maagizo anayoyaita ya kitakatifu ili tu aendeleze haja yake binafsi vizazi na vizazi.
🚮🚮🚮
Wewe ni mpumbavu
Aliyekuambia kiarabu ni lugha ya asili ni nani?
Thibitisha kama ni lugha ya asili?
Thibitisha kuwa kitabu kilishuka?
Ulikuepo? Hamna logic kbsaa🤣
Hata mimi naweza naandika kitabu kilishuka, tunaaminije?
Ibada in kiarabu? Unawazimu wewe?
Huu utapeli☝️
Hakuna lugha inayojulikana kwa uhakika kuwa ndiyo ya kwanza kabisa duniani.
Sababu ni hii 👇
Lugha zilianza kabla ya maandishi, na sauti za watu wa zamani hazikuandikwa ili zibaki kama ushahidi.
Acha bangi mzee baba, nimekuelewa sana ila bdo hujanijibu kwa hoja na mantikiUwe unasoma na kuelewa acha kukurupuka, nimesema kiarabu lugha ya asili ya qur'an
Hivi Babylon iko wapi ??
We unahisi iko wapi?
mim nimesema nini mkuu?Ndiko iliko Babylon huko ??