Sahii kabisa,Na nyumba zao ni nzuri na Imara wenyewe wanashangaa nyumba na ghorofa nyingi za Africa zinajengwa kwa kiwango duni.Me huwa napenda sana ujenzi wao kwakweli nyumba zina miaka lakini zipo strong na nzuri labda ziharibiwe na vita kama hivo,,,,compare zetu chek magorofa ya NHC upanga na kkoo,posta huko Yan watu wana subiri mpaka serikali iwapakie rangi haha wakati wanalipa kodi kidogo hatar sana yan wanashindwa kujichangisha kweli,,,pic ikipigwa kuonesha magorofa ya Dar utasema mbele yasogelee karibu uone![emoji23][emoji23]
Bongo hata mikoan wanakotumia za kuchoma, bado lenta wanafunga.Same kwa Russia, ghorofa ya floors hadi tano haina columns wala beams na ndivyo wanavyojenga. Utakachoona ni beams za tofali and that's it, nyumba zao zipo imara sana. They're very precise wakati wa ujenzi, lakini pia soil structure yao inawapa favor huenda na wanatumia matofali yaliyokuwa compressed, nadhani hata bongo kuna sehemu wanatumia, kama yale ya kuchoma.
SijaelewaMji wa kimakakati Ili wapige Hela Baadae. Waupige mabomu wameseme Mafuta Yamebanda Masikini Tujae Upepo Kichwani tuone ni sababu ya Vita
Nadhani hata hao wahandisi wetu wanashangaa na hawana majibu ya uhakika!! Kumbukeni kuwa watu wa mwanzo kabisa walianza kujenga mnara wa babeli kwa kutumia matofali ya kuchoma tu, hapakuwepo na mambo ya zege wala rinta na mnara ulipanda juu sana na kama Mungu asingewachafulia lugha kitu kingepanda hadi mawinguni bila rinta!!Ngoja waje kukupa muongozo...
Hilo la ugumu wa ardhi ya Ulaya unabahatisha tu, si kweli.lakini pia soil structure yao inawapa favor
Ma engineer wa mchongo wenyewe wamepigwa butwaaa hapa ππMaeng waje huku mtupe mwongozo kabla hatujaanza kulishana matango pori hapa
Hii inaonesha jinsi wasomi wetu ambavyo hawajiongezi zaidi ya kile kinachofundishwa darasan au labda ni taratibu za nchi
Sasa eng kwanini hujafanya utafiti kujua mbona wenzetu wanajengaIla kwa majengo ya zaidi ya floor mbili kutokua na beam sina jibu,
By: nile house designs.