Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

Nyumba za sasa ulaya vinatengenezwa kwa ngozi mbili yaani ndani kuna matofali ya kawaida inafatiwa na insulation alafu nje yanakuja matofali ya kuchoma. Floor nzima ndio ina kuwa linter ya kuhold nyumba, lakini wewe unakuwa huioni isipokuwa unaona matofali ya kuchoma .
Acha uwongo bhana,
Hizo layer mbili unaziona wapi Hapa kwny kitobo
IMG_20220814_101251.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni baadhi ya picha za majengo mbalimbali mitaani kutoka uwanja wa Vita uko ukraine.

Kinachoshangaza hata majengo ya serikali (magorofa Hadi nyumba za Kawaida) Nayo hayana beams Wala columns.

Mafundi, Wahandisi, wataalamu wa majengo na wanaJf hebu tufahamishane.

Imekaaje Hii[emoji848]View attachment 2323447View attachment 2323452View attachment 2323454View attachment 2323455View attachment 2323457

Sent using Jamii Forums mobile app
Storey floor inatenganishwaje?
 

Attachments

  • 03B8059B-DE68-41C0-AFAD-671F7CF2DE2D.jpg
    03B8059B-DE68-41C0-AFAD-671F7CF2DE2D.jpg
    8.2 KB · Views: 41
  • 6C6E6996-452B-4268-B738-7A530C107764.jpeg
    6C6E6996-452B-4268-B738-7A530C107764.jpeg
    18.4 KB · Views: 36
  • B56995FF-5FFB-496F-AE55-77468492E46A.jpeg
    B56995FF-5FFB-496F-AE55-77468492E46A.jpeg
    21.9 KB · Views: 34
Ubunifu hakuna
Siunaona hata ramn za nyumba zote kama zinafanana hakuna anayekuja na jipya mpaka mzungu aanzishe 😀😀
Ttz linaweza kuwa ni mfumo wetu wa elimu
Siunaona mtoa mada amekuja kuwachallenge na hii hawana majibu
😀😀😀 Ma engineer wa vitini na past paper mnawaonea bure tu hapa
 
Hapa nmekupata,
Ila za kule Ukraine hata zikibomoka hatuoni hata pande la chuma limeanguka.

Ni totally Hakuna beams

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom