raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Wanaweza kukwambia hawakufundishwa ๐Ma engineer wa mchongo wenyewe wamepigwa butwaaa hapa ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza kukwambia hawakufundishwa ๐Ma engineer wa mchongo wenyewe wamepigwa butwaaa hapa ๐๐
Hatari sana, ma engineer wetu wengi ni wa kudesa ๐๐Wanaweza kukwambia hawakufundishwa ๐
Ubunifu hakunahatari sana, ma engineer wetu wengi ni wa kudesa ๐๐
Teknolojia ya ujenzi ni kubwa na tofauti sana kulingana na mazingira, mfano hapa bongo hakuna culture ya kutengeneza nyumba za mbao, kwa hiyo mtaalamu wa huku akishindwa design nyumba ya mbao usimcheke, ht USA kuna wahandisi hawawezi design nyumba zetu hizi.Sasa eng kwann hujafanya utafiti kujua mbona wenzetu wanajenga
Sio kila kitu mfundishwe darasan ubunifu mwngine mnaweza kuongezea wenyewe ni maoni tu lakn [emoji3]
Sahii kabisa,Nadhani hata hao wahandisi wetu wanashangaa na hawana majibu ya uhakika!! Kumbukeni kuwa watu wa mwanzo kabisa walianza kujenga mnara wa babeli kwa kutumia matofali ya kuchoma tu, hapakuwepo na mambo ya zege wala rinta na mnara ulipanda juu sana na kama Mungu asingewachafulia lugha kitu kingepanda hadi mawinguni bila rinta!!
Sio kweli kwamba hizi ni nyumba za kizamani,Teknolojia ya ujenzi ni kubwa na tofauti sana kulingana na mazingira, mfano hapa bongo hakuna culture ya kutengeneza nyumba za mbao, kwa hiyo mtaalamu wa huku akishindwa design nyumba ya mbao usimcheke, ht USA kuna wahandisi hawawezi design nyumba zetu hizi.
By the way kwa teknolojia ya sasa, hakuna ujenzi huo, hizo nyumba nyingi ni za miaka ya nyuma kidogo, same na hapa bongo nyumba za wamisionari nyingi hazina lenta
AiseeHilo la ugumu wa ardhi ya Ulaya unabahatisha tu, si kweli.
Afrika ndio the oldest and the hardest land mass in the history of earth formation. Na baadae, wakati Pangea inavunjika vipande na mabara yanatambaa ( tectonic plate driffting) Afrika ilibakia pale pale kwa miaka milioni 200. (John Reader: Africa, Biography of the Continent.)
Ndio maana hata kilimo kilishindikana, jua, jiwe na dongo gumu na kavu.
Hatujui tu kujenga. Ardhi yetu inapaswa kutupa advantage.
Mimi nimekulia kwenye nyumba ya mkoloni, ya ghorofa, haina nondo, mkanda, jamvi wala zege. Imejengwa kwa beam za mbao za futi moja. Haikuwahi kuwa na nyufa, mtitio, mchwa, mvujo, kamwe.
Uko nondo kwa madesa. Bado unayakumbuka hongeraHilo la ugumu wa ardhi ya Ulaya unabahatisha tu, si kweli.
Afrika ndio the oldest and the hardest land mass in the history of earth formation. Na baadae, wakati Pangea inavunjika vipande na mabara yanatambaa ( tectonic plate driffting) Afrika ilibakia pale pale kwa miaka milioni 200. (John Reader: Africa, Biography of the Continent.)
Ndio maana hata kilimo kilishindikana, jua, jiwe na dongo gumu na kavu.
Hatujui tu kujenga. Ardhi yetu inapaswa kutupa advantage.
Mimi nimekulia kwenye nyumba ya mkoloni, ya ghorofa, haina nondo, mkanda, jamvi wala zege. Imejengwa kwa beam za mbao za futi moja. Haikuwahi kuwa na nyufa, mtitio, mchwa, mvujo, kamwe.
Nyumba za sasa Ulaya vinatengenezwa kwa ngozi mbili yaani ndani kuna matofali ya kawaida inafatiwa na insulation halafu nje yanakuja matofali ya kuchoma. Floor nzima ndio ina kuwa linter ya kuhold nyumba, lakini wewe unakuwa huioni isipokuwa unaona matofali ya kuchoma.Ngoja waje kukupa muongozo...
Yale matofali yao magumu balaa. Ni yale Yana vikokoto. Pia kwenye floors wanatumia steel beams.Nyumba za sasa ulaya vinatengenezwa kwa ngozi mbili yaani ndani kuna matofali ya kawaida inafatiwa na insulation alafu nje yanakuja matofali ya kuchoma. Floor nzima ndio ina kuwa linter ya kuhold nyumba, lakini wewe unakuwa huioni isipokuwa unaona matofali ya kuchoma .
Sahii kabisa,
Bado najiuliza uimara ukoje ukzngatia hawafungi lenta?
Ina Maana wazungu hawajui umuhimu wa lenta au vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahii kabisa,Mpaka sasa hakuna jibu, likipatikana naomba mnijuze
HiZo linta za zege zenye chuma umeziona wapi mkuu?Kwenye hizo nyumba ziko lintel lakini ni za matufali yaliyochanganywa na chuma.
Lintel ziko za sina nyingi tu, lintel za zege ilyochanganywa na chuma ni moja wapo
Kibongo bongo inawezekana ujenge jengo la kawaida au ghorofa usiweke lenta?Ujenzi sio lazima kutumia lenta zipo njia zingine
Steel beams ndo zikoje mkuuYale matofali yao magumu balaa. Ni yale Yana vikokoto. Pia kwenye floors wanatumia steel beams.