Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

hatari sana, ma engineer wetu wengi ni wa kudesa πŸ˜€πŸ˜€
Ubunifu hakuna
Siunaona hata ramn za nyumba zote kama zinafanana hakuna anayekuja na jipya mpaka mzungu aanzishe πŸ˜€πŸ˜€
Ttz linaweza kuwa ni mfumo wetu wa elimu
Siunaona mtoa mada amekuja kuwachallenge na hii hawana majibu
 
Sasa eng kwann hujafanya utafiti kujua mbona wenzetu wanajenga
Sio kila kitu mfundishwe darasan ubunifu mwngine mnaweza kuongezea wenyewe ni maoni tu lakn [emoji3]
Teknolojia ya ujenzi ni kubwa na tofauti sana kulingana na mazingira, mfano hapa bongo hakuna culture ya kutengeneza nyumba za mbao, kwa hiyo mtaalamu wa huku akishindwa design nyumba ya mbao usimcheke, ht USA kuna wahandisi hawawezi design nyumba zetu hizi.

By the way kwa teknolojia ya sasa, hakuna ujenzi huo, hizo nyumba nyingi ni za miaka ya nyuma kidogo, same na hapa bongo nyumba za wamisionari nyingi hazina lenta
 
Sahii kabisa,
Watasema hawakufundishwa hivyo vyuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kwamba hizi ni nyumba za kizamani,
Hili jengo Ni la ubalozi wa Canada nchini Ukraine,

Hii picha imepigwa haina hata mwezi ktk ya Hii Vita, jengo Lina Hadi kiyoyozi[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Kuna la kujifanza Hapa[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahandisi wetu wamekariri madesa tu na michoro ndio maana wanashindwa kuja na majibu katika uzi huu wanapita kimya kimya ama kweli Kuna shida katika mfumo wetu wa elimu.

Nyumba iliyo jengwa na Babu kijijini kwa kutumia tofari mbichi na tope ipo imara haina nyufa Wala nini angalia Sasa nyumba zilizo jengwa na mhandisi ni kichekesho [emoji57]
 
Uko nondo kwa madesa. Bado unayakumbuka hongera
 
Yale matofali yao magumu balaa. Ni yale Yana vikokoto. Pia kwenye floors wanatumia steel beams.
 
Kwenye hizo nyumba ziko lintel lakini ni za matufali yaliyochanganywa na chuma.
Lintel ziko za sina nyingi tu, lintel za zege ilyochanganywa na chuma ni moja wapo
HiZo linta za zege zenye chuma umeziona wapi mkuu?

Au unazungumzia hivi vijilenta vya kunyunyizia kwenye madirisha?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…