Acha uwongo bhana,Nyumba za sasa ulaya vinatengenezwa kwa ngozi mbili yaani ndani kuna matofali ya kawaida inafatiwa na insulation alafu nje yanakuja matofali ya kuchoma. Floor nzima ndio ina kuwa linter ya kuhold nyumba, lakini wewe unakuwa huioni isipokuwa unaona matofali ya kuchoma .
Umeongea kitaalam Sana,Wana jenga cavity walls mara nyingi haziwekwi lenta badala yake kunakuwa na TIE
Storey floor inatenganishwaje?Hizi ni baadhi ya picha za majengo mbalimbali mitaani kutoka uwanja wa Vita uko ukraine.
Kinachoshangaza hata majengo ya serikali (magorofa Hadi nyumba za Kawaida) Nayo hayana beams Wala columns.
Mafundi, Wahandisi, wataalamu wa majengo na wanaJf hebu tufahamishane.
Imekaaje Hii[emoji848]View attachment 2323447View attachment 2323452View attachment 2323454View attachment 2323455View attachment 2323457
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wako ni mzuri, majibu yakipatikana tutapata funzo zuriSahii kabisa,
Wengi wanazunguka mule mule,
Mara ardhi, Mara tofali, Mara mbinu n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu umewashikia bango engineer wetu,kwani hizi kazi nazo za connectionAcha uwongo bhana,
Hizo layer mbili unaziona wapi Hapa kwny kitoboView attachment 2324157
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...kama zile wanatumia kujenga structure za airports,godown etc, pale Morocco mbele ya NHC houses kuna jengo limejengwa kwa kutumia steel beams tu.
Sio wote Mimi nimejenga huko nimeweka!Iringa na njombe nilivyo fika nilishangaa wanajenga ila hawaweki lenta.View attachment 2324251
HiZo linta za zege zenye chuma umeziona wapi mkuu?
Au unazungumzia hivi vijilenta vya kunyunyizia kwenye madirisha?
View attachment 2324155
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ni muhimu kutafautisha baina lintel ana beamHiZo linta za zege zenye chuma umeziona wapi mkuu?
Au unazungumzia hivi vijilenta vya kunyunyizia kwenye madirisha?
View attachment 2324155
Sent using Jamii Forums mobile app
HiZo linta za zege zenye chuma umeziona wapi mkuu?
Au unazungumzia hivi vijilenta vya kunyunyizia kwenye madirisha?
View attachment 2324155
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Ma engineer wa vitini na past paper mnawaonea bure tu hapaUbunifu hakuna
Siunaona hata ramn za nyumba zote kama zinafanana hakuna anayekuja na jipya mpaka mzungu aanzishe ππ
Ttz linaweza kuwa ni mfumo wetu wa elimu
Siunaona mtoa mada amekuja kuwachallenge na hii hawana majibu
wazee wa vitini na past paper ππma-eng wa mchongo Tz, wakariri desa
Nahisi jengo la BayportDuh...kama zile wanatumia kujenga structure za airports,godown etc, pale Morocco mbele ya NHC houses kuna jengo limejengwa kwa kutumia steel beams tu.
YeahNahisi jengo la Bayport
Nasubiri jibu la wakandarasi wa jfStorey floor inatenganishwaje?
Hebu tupe ufafanuzi,Nafikiri ni muhimu kutafautisha baina lintel ana beam