The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Naenda kunywa kahawa akijibu nishtueHapa nmekupata,
Ila za kule Ukraine hata zikibomoka hatuoni hata pande la chuma limeanguka.
Ni totally Hakuna beams
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni ghrofa moja au mbili wanatumia mbao ngumu, sky scrappers wanatumia concrete au steel beam.Storey floor inatenganishwaje?
Fafanua suala lako, sijakuelewa
Jibu hili limenipa udadisi.Kama ni ghrofa moja au mbili wanatumia mbao ngumu, sky scrappers wanatumia concrete au steel beam.
Inategemea matufali ya aina gani, kama matufali ni mepesi basi hiyo frame ya mlango au dirisha inatosha kubeba uzito haina haja ya lintel. Kama Matufali ya kuchonga kwenye mawe ni mepesi sana. Vili vile hizi nyumba za zamani frme zake za milango na madirisha ni heavy duty na zinadumu muda mrefu sana kwa hiyo hazihitaji lintel.Hapa nmekupata,
Ila za kule Ukraine hata zikibomoka hatuoni hata pande la chuma limeanguka.
Ni totally Hakuna beams
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibi ni wao hujenga kuta mbili kitaalam mjengo huo huitwa CAVITY WALLSMpaka sasa hakuna jibu, likipatikana naomba mnijuze
Nilienda zanzibar kipindi flani nikakuta nyumba ina rinta 3, chini, levo ya dirisha, na juu baada ya dirishaBongo hata mikoan wanakotumia za kuchoma, bado lenta wanafunga.
Kibongo bongo mkandarasi ajenge ghorofa bila beam Wala columns za zege sidhan kama anaweza kueleweka.
Imekua Kama mazoea kufunga ring beams kwa kila jengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani cavity wall ni kwasababu ya baridi maanake pale katikati wanaweza insulating materialsJibi ni wao hujenga kuta mbili kitaalam mjengo huo huitwa CAVITY WALLS
na katikati ya zile kuta huwekwa waya ambao hauonekani unaitwa Tie. Umbo lake kama tai ya shingo
Hizi ni baadhi ya picha za majengo mbalimbali mitaani kutoka uwanja wa Vita uko ukraine.
Kinachoshangaza hata majengo ya serikali (magorofa Hadi nyumba za Kawaida) Nayo hayana beams Wala columns.
Mafundi, Wahandisi, wataalamu wa majengo na wanaJf hebu tufahamishane.
Imekaaje Hii[emoji848]View attachment 2323447View attachment 2323452View attachment 2323454View attachment 2323455View attachment 2323457
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya tofali na upana wa ukuta?Sio kweli kwamba hizi ni nyumba za kizamani,
Hili jengo Ni la ubalozi wa Canada nchini Ukraine,
Hii picha imepigwa haina hata mwezi ktk ya Hii Vita, jengo Lina Hadi kiyoyozi[emoji116] View attachment 2323931
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa nimecheka sana.Nadhani hata hao wahandisi wetu wanashangaa na hawana majibu ya uhakika!! Kumbukeni kuwa watu wa mwanzo kabisa walianza kujenga mnara wa babeli kwa kutumia matofali ya kuchoma tu, hapakuwepo na mambo ya zege wala rinta na mnara ulipanda juu sana na kama Mungu asingewachafulia lugha kitu kingepanda hadi mawinguni bila rinta!!
Kwa columns , inawezeka kuziacha Kutokana na design.Bongo hata mikoan wanakotumia za kuchoma, bado lenta wanafunga.
Kibongo bongo mkandarasi ajenge ghorofa bila beam Wala columns za zege sidhan kama anaweza kueleweka.
Imekua Kama mazoea kufunga ring beams kwa kila jengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa,Mzee wangu alijenga nyumba mwaka 1988 bila Renta tena kwa tofari mbichi but mpaka leo hii ipo!!na imeenda hewani tu vizuri,sema imepitwa na wakati kwenye upauaji.
Nyumba hii mzee ataiacha nna uhakika.
Nikirudi kwenye mada yako,nyumba ya kawaida inaweza tu ikajengwa bila renta Ila ukaiwekea virenta Fulani madirishani na milangoni na ikawa vizuri Sana tuu,sema ujenzi wa Sasa si kwa ajili ya kuishi,watu wanajenga ili wapate umaarufu na sifa.(vijana wanajenga kwa kushindana aisee)
Huku kwetu kujenga ghorofa bila column inawezekana vizuri bila shida, Ila tofali yako iwe ya uhakika. Ila sijawahi kuona slab bila beam, hiyo ni kitu kipya kwangu.Bongo hata mikoan wanakotumia za kuchoma, bado lenta wanafunga.
Kibongo bongo mkandarasi ajenge ghorofa bila beam Wala columns za zege sidhan kama anaweza kueleweka.
Imekua Kama mazoea kufunga ring beams kwa kila jengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana hili, Ila nyumba/jengo la utafiti waje waanze kujenga ya kwako na uishi mwenyewe tuone Kama utakubali.Sasa eng kwanini hujafanya utafiti kujua mbona wenzetu wanajenga
Sio kila kitu mfundishwe darasani ubunifu mwngine mnaweza kuongezea wenyewe ni maoni tu lakn [emoji3]